Kaunti ya Nairobi yafungia kanisa la freemason kwa kutoka na deni la mamilioni ya pesa

Kaunti ya Nairobi yafungia kanisa la freemason kwa kutoka na deni la mamilioni ya pesa

The Nairobi County Revenue Department on Wednesday, May 14, clamped down on the Grand Lodge of East Africa’s Freemasons’ Hall over alleged land rate arrears as the crackdown on defaulters intensified.

Health CEC Suzanne Silantoi led the operation, which was part of a wider move by the county government targeting rate defaulters.

According to the revenue department, the Freemasons Hall on Nyerere Road had land rates debt amounting to Ksh19 million.
 
Hao kenya wanagusa mali za freemason wanajiamini nini? Tanzania Nyerere hakutaifisha majumba ya freemason aliyaacha wenyewe waendelee nayo. sijui kama wanalipia kodi ya jengo na ardhi
 
Sasa hao wanasema wana hela wanatoa wapi au kuna part one na part 2
 
Hilo sio kanisa, semeni ni jumba la freemason. Kanisa ni takatifu, bora mgesema sinagogi mgeeleweka vema
Kuna sehemu nimepita kwenye jumba la ibada za mabaniani ambao tunajua kuwa wanaabudu ng'ombe na masanamu mbalimbali lakini kwenye uzio wa jumba hilo pameandikwa ". MARUFUKU KUFANYA BIASHARA MBELE YA MSIKITI"
 
si bora wangeandika hekalu? Maana hayo majumba yao ya kuabudia huyaita sinkh temple
 
Back
Top Bottom