Kazi yao ni kutoa utajiri sio kodiHawa si ndio wanatoa utajiri 😄 🤣
Sasa wakipewa hizo hela hao waganga wanamaliza zote kununua hirizi na tunguli hawakumbuki kuweka na hela pango, operations costs na contigency hahahah... wamevunda sana vibaka hawa wa Afrika mashariki sasa la ajabu hawana coordination na wenzao wa ulaya kuwalipia hio pesa mbuzi wasipate fedheha au janja janja nyingi tu na hukoWaganga wa kienyeji hawa, mpaka uwape hela ndo wakupe utajiri.
😆 mwasibu wetu alikimbilia uswizi na kibunda chote.Aisee 😂😂😂😂
Inabidi akamatwe apigwe 😆😆😆😆 mwasibu wetu alikimbilia uswizi na kibunda chote.
HahahaInabidi akamatwe apigwe 😆😆😆