Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Hili litakuja kujidhihirisha hapo baadaye patakapo pambazuka kwamba hizi zinazoitwa Kaunti au Majimbo unaweza kusema ni mzigo mkubwa sana kwa walipa kodi wa Kenya!
Wengi wao sasa hivi wanapumbazwa na kudanganywa na wanasiasa kuhusu vimiradi vya hapa na pale, kama sijui Magari ya Polisi au skyscrapers n.k., lakini wasichokijua ni kwamba haya yote ni madeni ambayo hizi Kaunti zinaingia na sasa hapo baadaye Kenya itakuwa na madeni ya aina nyingi. Kwanza itakuwa na madeni ya kawaida ambayo Kenya kama nchi na pia kutakuwa na madeni makubwa sana yanayotokana na hizi kaunti, hivyo kaeni mkao wa kula, bili zinakuja siku za usoni!