Kaunya: Mimi ni mhanga wa Oktoba 29 nimekaa gerezani miezi 6 kwa hila za CCM

Kaunya: Mimi ni mhanga wa Oktoba 29 nimekaa gerezani miezi 6 kwa hila za CCM

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohane Kaunya aliyekuwa anakabiliwa na kesi huko Bunda na kushinda kesi hizo baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miezi sita leo Mei 24, 2026 amefunguka kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA Jijini Dodoma

"Mimi ni mhanga wa tukio la tarehe 29 Oktoba mwaka 2025. Nimekaa gerezani katika kipindi cha miezi sita, baada ya kukamatwa tarehe moja ya mwezi wa 11 mwaka 2025 kwa hila za serikali na Chama cha Mapinduzi.

Lakini ninachomshukuru Mungu ni kwamba hila hizo zimeimarisha, na leo sasa naweza kusema kwamba niko tayari kwa mapambano, tusonge mbele tukaichukue nchi hii."




 
Back
Top Bottom