Kauziwa rice cooker Tsh. 300,000 na Waturuki, kaikuta inauzwa Tsh. 140,000 Mlimani City. Anawaza amalizie hela yao ama?

Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu.

Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4.

Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza.

Jana anauliza nifanyeje bro nkamjibu malizia kulipa alafu mwonyeshe hio picha na bei yake umshukuru kwa kukupa miezi 4, bado kidogo anitupie chupa ya Fanta hhahahaa!
Mikopo ina riba hasaa. Kuna hawa wakopesha simu simu ya lak mbili mtu analipa lak 5. Kuna sehemu kuna atm ya crdb pembeni wana kiofisi chao kila nikienda atm wananiita bro bro njoo ukope simu. Mimi jibu langu nawambia kwani nyie hamwoni nimeshika simu mkononi.
Sema wabongo si waaminifu lazima.uweke riba kubwa kulipia watakaokutapeli
 
Sasa huo si mkopo mkuu, 140,000 kwa 300,000 ni halali ila tu hakikisha unamaliza deni lao ndani ya mwaka mmoja au zaidi ili wote mnufaike,kwani ukiwa mkali ni waoga sana wa polisi,wewe wakikuzengua waambie mwende mahakamani,tambua hao watu ni wakwepa kodi,hivyo hawawezi kukubali polisi au mahakamani hawana pa kukupeleka hao.

Mimi ndani mwangu nina vitu vyao vingi,juzi wameniuzia oveni kwa sh 420,000 wakati dukani ina 200,000,nimekaa nayo miezi mitatu bila kulipia,mwezi huu ndo nimewalipa,ninampango wa kumaliza kulipa deni mwaka kesho mwezi wa 12 ilikhali tulielewana mwezi wa pili mwaka huu.
Vitakutukana kituruki mpaka utaomba poo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Ilaa wanaibiwaaa hatareeee....kuna mdada.mmoja tegeta alichukua vituvya kama.laki nane akatanguliza lak3 kumbe anahama duka ndani ya huo mwezi aisee nilijisikia vibaya sema nkawaza nawao siwanapiga mwosha huoshwa
Safi aliwanyoosha. Majamaa ni matapeli sana yale unamuuzia mtu kitu cha 60,000 kwa laki 300,000. Hiyo kwanza ni kusababisha inflation nashangaa serikali why ipo kimya kuchekea aina hii ya ulanguzi wa bei kwa raia wake.
 
Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu.

Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4.

Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza.

Jana anauliza nifanyeje bro nkamjibu malizia kulipa alafu mwonyeshe hio picha na bei yake umshukuru kwa kukupa miezi 4, bado kidogo anitupie chupa ya Fanta hhahahaa!
Mkopo lazima umalizie japo Ukiwa mtata unadinda na ukienda kwenye sheria unaweza shinda.

Kikubwa ni kuwa mtata maana huo ni Utapeli
 
Riba ipi ya 120% Kwa mwezi? Kuna sheria ipi inaruhusu riba ya hivyo?
Wapumbavu hao achana nao. Watu hawana hata elimu ya uchumi basi japo wajue maana ya interest rates limits allowed by law, wajue effects za overpriced products kwenye uchumi na money inflation, wajue hata fraudulent activity kwenye biashara, hakuna wanalojua ni kubungua tu maneno wasiyojua yanawapeleka wapi.
 
Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu.

Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4.

Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza.

Jana anauliza nifanyeje bro, nkamjibu malizia kulipa alafu mwonyeshe hio picha na bei yake umshukuru kwa kukupa miezi 4, bado kidogo anitupie chupa ya Fanta hhahahaa!
Hatari huduma mpaka mlangoni kwako!
 
Mkataba unamfunga!Amalizetuu kuwalipa
 
Back
Top Bottom