Kauziwa rice cooker Tsh. 300,000 na Waturuki, kaikuta inauzwa Tsh. 140,000 Mlimani City. Anawaza amalizie hela yao ama?

Kauziwa rice cooker Tsh. 300,000 na Waturuki, kaikuta inauzwa Tsh. 140,000 Mlimani City. Anawaza amalizie hela yao ama?

Hii nchi ina watu maskini sana wa kipato na akili
How.comes mtu anakopa vyombo ?
Dah aibu hii.
Yaani kuna vitu navisomaga huku mitandaoni mashangaa sana .
Kutoka.maisha yangu nishawahi kukopa.pesa benki na Kwenye Saccos ya ofisini basi.
Kuna jamaa namfahamu yeye anakopa bia namshangaaga sana huyo mtu
Kujiendekeza tu.
 
Back
Top Bottom