Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
😅😅😅😅Sawa Mzee mtema kuniKabisa. Mimi ndo Mtema Kuni. Ule msemo wa ATAKIONA CHA MTEMA KUNI. So ni wa zamani sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅Sawa Mzee mtema kuniKabisa. Mimi ndo Mtema Kuni. Ule msemo wa ATAKIONA CHA MTEMA KUNI. So ni wa zamani sana.
Kujiendekeza tu.Hii nchi ina watu maskini sana wa kipato na akili
How.comes mtu anakopa vyombo ?
Dah aibu hii.
Yaani kuna vitu navisomaga huku mitandaoni mashangaa sana .
Kutoka.maisha yangu nishawahi kukopa.pesa benki na Kwenye Saccos ya ofisini basi.
Kuna jamaa namfahamu yeye anakopa bia namshangaaga sana huyo mtu
Muhimu sana hii, na siku hizi teknologia inarahisisha, unaweza kuuliza/kupata bei bila kufika dukani.Kabla ya kufanya manunuzi window shopping muhimu
Ova
Hakika ndugu yanguMimi Mambo ya kukopa vyombo naona kujitia umaskini tu,,yaani vyombo vya kukopa kweli