✳️ KAWAIDA AWASIHI VIJANA WOTE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewakaribisha vijana wote Tanzania katika Chama Cha Mapinduzi ili wapate nafasi ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na Kuichaguwa CCM katika nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
Ndg. Kawaida ameyasema hayo Aprili 14, 2025 mkoani Njombe ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake akizungumza na vijana wa Njombe Mjini.
Ndg. Kawaida ameeleza yeye akiwa mwakilishi wa vijana wote Tanzania amepokea malalamiko ya vijana kutoka moja ya Chama Cha Siasa kikiwabana vijana Kupata nafasi ya kushiriki katika Uchaguzi Mkuu hivyo ameona ni vizuri kuwakaribisha CCM ili watimize haki yao ya kikatiba.
#KazinaUtuTunasongaMbele
#TunazimaZoteTunawashaKijani