Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
wenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwa kushirikiana na NEC, ilitoa maelekezo ya Balozi Emmanuel Nchimbi kuitwa katika vikao vya maadili, lakini alikaidi maelekezo hayo.
Kawaida amesema hayo leo Agosti 29, 2026 mkoani Dodoma, muda mfupi baada ya kushuhudia kuapishwa kwa Makamu mpya wa Rais, Deogratius Ndejembi.
"Kamati Kuu ilimuita Balozi Nchimbi kwenye kamati ya maadili lakini kwa sababu ya kiburi na kudharau chama aligoma kuja, Tukamfukuza" - KAWAIDA
Soma Pia: Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM