wenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwa kushirikiana na NEC, ilitoa maelekezo ya Balozi Emmanuel Nchimbi kuitwa katika vikao vya maadili, lakini alikaidi maelekezo hayo.
Kawaida amesema hayo leo Agosti 29, 2026 mkoani Dodoma, muda mfupi baada ya kushuhudia kuapishwa kwa Makamu mpya wa Rais, Deogratius Ndejembi.
"Kamati Kuu ilimuita Balozi Nchimbi kwenye kamati ya maadili lakini kwa sababu ya kiburi na kudharau chama aligoma kuja, Tukamfukuza" - KAWAIDA
Soma Pia: Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM
..waliomuita Nchimbi, Yuda, waliwahi kuitwa kamati ya maadili?
ZILAANIWE SHAHAWA CHAFU ZA BABA YAKOALIZOMKOJOLEA MAMA YAKO UKAZALIWA ***** WEWENdugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Mohamed Kawaida Amesema ya kuwa Makamu wa Rais Mstaafu Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Aliitwa Kwenye Kamati ya Maadili ya CCM lakini akagoma kufika kwenye kamati Hiyo Sababu ya kiburi .
Ameendelea kusema ya kuwa ndio sababu Vikao vya juu vya Chama baada ya kuketi chini vikaazimia kumfukuza na kumfutia Uanachama wa CCM.
Ndugu kawaida pia ametoa Onyo kwa wazee Ambao wamekuwa wakiwashambulia viongozi wetu na serikali yetu kuwa waache mara moja na haraka sana maana wakiendelea kufanya hivyo Watajibiwa.
Amesema wanawaheshimu wazee hao kwa sababu ya kazi waliyoifanya kwa Taifa hili na siyo kwamba wamewakalia kimya kwa kuwaogopa ama kushindwa kuwajibu .
Amesema funzo ni kuwa watu hususan vijana tunapaswa kuwa wanyenyekevu na kuheshimu katiba ,sheria ,kanuni na taratibu za chama na kutambua kuwa hakuna aliye juu ya chama ama aliye Mkubwa kuliko chama .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wakati Chadema wamefukuza Covid 19 kwa kugoma wito wa chama chao, CCM waliwatetea hadi wakamaliza muda wao bungeni, leo wanasema Nchimbiwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwa kushirikiana na NEC, ilitoa maelekezo ya Balozi Emmanuel Nchimbi kuitwa katika vikao vya maadili, lakini alikaidi maelekezo hayo.
Kawaida amesema hayo leo Agosti 29, 2026 mkoani Dodoma, muda mfupi baada ya kushuhudia kuapishwa kwa Makamu mpya wa Rais, Deogratius Ndejembi.
"Kamati Kuu ilimuita Balozi Nchimbi kwenye kamati ya maadili lakini kwa sababu ya kiburi na kudharau chama aligoma kuja, Tukamfukuza" - KAWAIDA
Soma Pia: Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM
Mbona ccm waliwalinda Covid 19 hadi wakamaliza ubunge wao, wakati waligoma kuitikia wito wa kamati ya maadili ya chama chao?wenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwa kushirikiana na NEC, ilitoa maelekezo ya Balozi Emmanuel Nchimbi kuitwa katika vikao vya maadili, lakini alikaidi maelekezo hayo.
Kawaida amesema hayo leo Agosti 29, 2026 mkoani Dodoma, muda mfupi baada ya kushuhudia kuapishwa kwa Makamu mpya wa Rais, Deogratius Ndejembi.
"Kamati Kuu ilimuita Balozi Nchimbi kwenye kamati ya maadili lakini kwa sababu ya kiburi na kudharau chama aligoma kuja, Tukamfukuza" - KAWAIDA
Soma Pia: Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM
Kawaida sana hiyo,yalimtokea makweta kwa mwinyiMaisha ya Tanzania yalivyo usijeshangaa siku moja Nchimbi anakua Rais
haka kajamaa sjui katafucha wapi sura