GE2025 Kawaida: Video zilirekodiwa na nani, kama waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani? Swali kwako

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
1762424696609.png

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani — lakini video zipo, sauti zipo, nyuso zipo. Kama si wao, ni nani aliyerekodi?

Na kwa nini misiba ya waliokufa kwa risasi inageuzwa jukwaa la lawama badala ya tafakari ya Taifa?

Screenshot 2025-11-06 132426.png
 
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani — lakini video zipo, sauti zipo, nyuso zipo. Kama si wao, ni nani aliyerekodi?

Na kwa nini misiba ya waliokufa kwa risasi inageuzwa jukwaa la lawama badala ya tafakari ya Taifa?

rotten head
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Unafikiri ataongea nini?

Unajua hao jamaa awajutii kitu chochote walichokifanya wanaona ni haki kuua binadamu wenzao kama sisimizi.

Pimbi kama huyu anakuja kuongea usenge mtupu
 
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani — lakini video zipo, sauti zipo, nyuso zipo. Kama si wao, ni nani aliyerekodi?

Na kwa nini misiba ya waliokufa kwa risasi inageuzwa jukwaa la lawama badala ya tafakari ya Taifa?

of course hawakuwepo, infact hata hawakuwepo nchini. Akina Mangi na wenzake wote wako nje ya nchi au hujui hilo?
 
Back
Top Bottom