Kwa kweli waTZ inakuwa kama hatujui
sababu ya watoto kufeli! Tunapoteza muda mwingi sana kjadili hili swala. Sababu ni moja tu, nayo ni ubabe wa JK alioufanya wakati anazima mgomo wa walimu. Walim lazima yawe kwa sababu ya walimu kuumia sana na ubabe wa JK. Kutaja hizi sababu nyingine ni ku beat around the bush tu, kama kawaida yetu waTZ!!
Tuache uswahili bana!.