Nimemsikia Shukulu kawambwa anasema Wizara inafanya/itafanya tahtimin ili kujua kwa nini watoto wamefeli mtiani kwa kiasi hicho.Hivi huu mtu ni mzima wa akili? najiuliza Mtanzania yupi azijui sababu za kufeli?Au yeye kama Waziri anataka tuamini kwamba hajui tatizo japo moja linaloikabili sekta yake anayoiongoza? Hv tanzania ya leo bado kuna mtu kama huyu anaongoza wizara?