Kawambwa na matokeo kidato cha nne

Kawambwa na matokeo kidato cha nne

Nomile

Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
99
Reaction score
122
Nimemsikia Shukulu kawambwa anasema Wizara inafanya/itafanya tahtimin ili kujua kwa nini watoto wamefeli mtiani kwa kiasi hicho.Hivi huu mtu ni mzima wa akili? najiuliza Mtanzania yupi azijui sababu za kufeli?Au yeye kama Waziri anataka tuamini kwamba hajui tatizo japo moja linaloikabili sekta yake anayoiongoza? Hv tanzania ya leo bado kuna mtu kama huyu anaongoza wizara?
 
Kwa kweli waTZ inakuwa kama hatujui sababu ya watoto kufeli! Tunapoteza muda mwingi sana kjadili hili swala. Sababu ni moja tu, nayo ni ubabe wa JK alioufanya wakati anazima mgomo wa walimu. Walimu waliahidi bila kificho kuwa wataifunza serkali somo amabalo halitasahaulika.

Eti shule hazina maabara. Je mwaka jana na juzi kulikuwa na maabara?
Eti walimu ni wachache. Je mwaka jana na juzi kulikuwa na walimu wa kutosha?
Eti watoto wanapoteza muda mwingi kwenye facebook, etc. Je mwaka jana na juzi hakukuwa na facebook?
Eti wazazi hawafuatilii maendeleo ya watoto wao. Je mwaka jana na juzi walikuwa wanafuatilia?

Matokeo ya mwaka huu hayajawahi kutokea to Tanganyika izaliwe. Na mwaka jana walimu waliandaa mgomo ambao haujawahi kutokea toka Tanganyika izaliwe, na ukazimwa kibabe. Haya matokeo lazima yawe kwa sababu ya walimu kuumia sana na ubabe wa JK. Kutaja hizi sababu nyingine ni ku beat around the bush tu, kama kawaida yetu waTZ!!

Tuache uswahili bana!.
 
na lengo lao zero zifikie 75% mwaka 2013!
Kwa kweli waTZ inakuwa kama hatujui
sababu ya watoto kufeli! Tunapoteza muda mwingi sana kjadili hili swala. Sababu ni moja tu, nayo ni ubabe wa JK alioufanya wakati anazima mgomo wa walimu. Walim lazima yawe kwa sababu ya walimu kuumia sana na ubabe wa JK. Kutaja hizi sababu nyingine ni ku beat around the bush tu, kama kawaida yetu waTZ!!

Tuache uswahili bana!.
 
Back
Top Bottom