KAWAPIMENI WATOTO WENU AFYA

KAWAPIMENI WATOTO WENU AFYA

Fazzah5x

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
172
Reaction score
243
Habari za sikukuu wapendwa

Nikiwa kama mwanajamii asee haya mambo yanayofanyikaga siku kama hizi za sikukuu(ukitoa siku nyinginezo),hali ni mbaya mno mtaani

Ndani ya siku hizi 2 tu yaaani jana na leo nimeshuhudia pairs zaidi ya 20 za watoto miaka 10-15 wakitoana out na kufanya adultery acts(sex,romance,sexy dances etc) kiufupi sijapendezwa haswaa kutokana na sababu kuu 2
a)kulingana na umri wao
b)uharibifu wa mantiki ya christmass((siku ya kumb ya kuzaliwa yesu kristo) japo hili libawahusu na watu wazima ambao siku hii hufanyika (UZINZI) wa hali ya juu

Kumalizia: vuteni muda kidogo mkawapime hao watoto wenu
Kaswende
Kisonono
UTI
HIV
Homa ya ini
Pid

Kansa ya koo

Na kadharika

Muwe na siku njema wazazi
 
Ya

Aani tangu nakua nilikua nikiaona haya mambo mpaka leo hii. Niko kijana naogop hata kuanzisha family maana mambo mengi mno God bless us
Mwanadamu unastaajabu hayo? Angalia huku...
FB_IMG_1735240776006.jpg

Ezekieli 8:5 (KJV) Ndipo akaniambia, Mwanadamu, inua macho yako sasa, uangalie upande wa kaskazini. Basi nikainua macho yangu, nikaangalia upande wa kaskazini, na tazama, upande wa kaskazini wa mlango, ilikuwako sanamu ile ya wivu, mahali pale pa kuingilia.
 
Habari za sikukuu wapendwa

Nikiwa kama mwanajamii asee haya mambo yanayofanyikaga siku kama hizi za sikukuu(ukitoa siku nyinginezo),hali ni mbaya mno mtaani

Ndani ya siku hizi 2 tu yaaani jana na leo nimeshuhudia pairs zaidi ya 20 za watoto miaka 10-15 wakitoana out na kufanya adultery acts(sex,romance,sexy dances etc) kiufupi sijapendezwa haswaa kutokana na sababu kuu 2
a)kulingana na umri wao
b)uharibifu wa mantiki ya christmass((siku ya kumb ya kuzaliwa yesu kristo) japo hili libawahusu na watu wazima ambao siku hii hufanyika (UZINZI) wa hali ya juu

Kumalizia: vuteni muda kidogo mkawapime hao watoto wenu
Kaswende
Kisonono
UTI
HIV
Homa ya ini
Pid

Kansa ya koo

Na kadharika

Muwe na siku njema wazazi
Tatizo la Bording na kuachia Matron na Paron na Walimu ndio walee watoto,
 
sIku hz kila kibinti cha sekondary kina simu hata kama kinatoka familia ya chini

Dunia inaelekea kuzur
 
Aseee watoto wadogo sana wamekulana jana
Misituni

Vichakani

Magetoni
Mpaka nkaogopa sana sijui
Haya ni matokeo ya Wazazi kuwaachia Walimu majukumu ya malezi ya watoto, Mzazi yuko very busy hana muda wala time, anaona mtoto kuwa Bording ni ujanja. Siku mkija kujua jukumu la malezi kwa mtoto ni la Mzazi na sio mwalimu wala Matron itakuwa too late
 
Aiseee siwezi kupinga .
Ila binafsi naona watoto wa siku hizi ni watoto bora zaidi ya enzi zetu sisi .
Zamani mtoto wa miaka 10 anajua style zote za sex lakini sasa miaka 10 anadeal na toy tu
 
Wanafanya mapenzi wakat hawajabarehe kwel maisha yamebadilika
 
Haya ni matokeo ya Wazazi kuwaachia Walimu majukumu ya malezi ya watoto, Mzazi yuko very busy hana muda wala time, anaona mtoto kuwa Bording ni ujanja. Siku mkija kujua jukumu la malezi kwa mtoto ni la Mzazi na sio mwalimu wala Matron itakuwa too late
noma
 
Back
Top Bottom