KAWAPIMENI WATOTO WENU AFYA

KAWAPIMENI WATOTO WENU AFYA

Habari za sikukuu wapendwa

Nikiwa kama mwanajamii asee haya mambo yanayofanyikaga siku kama hizi za sikukuu(ukitoa siku nyinginezo),hali ni mbaya mno mtaani

Ndani ya siku hizi 2 tu yaaani jana na leo nimeshuhudia pairs zaidi ya 20 za watoto miaka 10-15 wakitoana out na kufanya adultery acts(sex,romance,sexy dances etc) kiufupi sijapendezwa haswaa kutokana na sababu kuu 2
a)kulingana na umri wao
b)uharibifu wa mantiki ya christmass((siku ya kumb ya kuzaliwa yesu kristo) japo hili libawahusu na watu wazima ambao siku hii hufanyika (UZINZI) wa hali ya juu



Kumalizia: vuteni muda kidogo mkawapime hao watoto wenu
Kaswende
Kisonono
UTI
HIV
Homa ya ini
Pid

Kansa ya koo

Na kadharika


Muwe na siku njema wazazi
Na mabinti wakapimwe ujauzito
 
Back
Top Bottom