Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Aisee huo uhuni wauache mara moja.Wananchi wameupuuza uongo ulioratibiwa na Halima Mdee na genge lake
Katika hali isiyo ya kawaida mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chadema, Halima Mdee alijaribu kutengeneza taharuki kwa kushirikiana na vijana wa Chadema ambapo walichukua fomu ya mfano ya kupigia kura ambazo hutumika kutolea elimu kwa wananchi kuhusu kupiga kura na kuzirudufu kisha kuweka alama ya vema kwa wagombea wa CCM.
Baada ya kutokea kwa tukio hilo wananchi walianza kuhoji, Halima Mdee alipata wapi taarifa hizo? Je aliyekamatwa akiwa na kura hizo feki kwaanini hawakumuonyesha kwenye video?
Je, kwanini walichoma moto kura hizo wanazoziita feki ambazo zilifaa kutumiwa kama ushahidi? Je, viberiti na nyenzo nyingine walizotumia wamevipata wapi?
Ni wazi kuwa walikuwa wamejiandaa vya kutosha kupotosha wananchi na kuleta taharuki japo mpango wao wapiga kura waliushtukia na kuamua kuwapuuza viongozi hao wa Chadema.
Pamoja na hilo, Halima Mdee alikuwa akitengeneza mazingira ya kukamatwa na polisi ili aonewe huruma na wananchi lakini polisi pia walimshtukia mpango wake na kuamua kumpuuza.
Mwisho Kabisa nitoe pongezi kwa Watanzania wote kwa kuamua Kupiga kura kwa amani na utulivu wa hali ya juu.
#TanzaniaImeamua
#MitanoTena
Ulitaka wazipeleke wapi ambapo wangepata support?? Anyway nilisahau kwamba kichwani umejaza funza!!Sasa si wanaharibu ushahidi?
Wewe mwenyewe mpuuzi na pimbi kabisa...Habari za kipuuzi kama hizi zinafikaje JF
Hayo makaratasi ni Yale ambayo yamekamatwa vipi ambayo hayajakamatwa?.
Wameingiza kura ngapi CCM kwa mtindo huu?.
Ikiwa mjini Hali ipo hivi .je huko vijijini si ndo mtafanya shamba la Bibi.
Mnadumbukiza tu mikura kwenye mabox[emoji16][emoji16][emoji16]..
TUME HURU,TUME HURU,TUME HURU
Sababu ni kura halali, kinachowama zimepigwa kwa mgombea wasiyemtaka. Mawakala wengi wa upinzani wamechelewa kufika vituoni. Wanafika Mdee analazimisha upigaji kura uanze upya.Kwanini wanaharibu ushahidi?
maneno ya humu hayana nguvu.. kila muntu munaandika kwa lolote tu.. hayo yamepitwa na upepo.. awamu hii imeonyesha Watanzania kuwa wazalendo.. JPM tano tena.. Hapa kazi ya tano tena.. ni kusaga meno tu.. [emoji172] [emoji169] [emoji172] [emoji169] [emoji172]
Kweli..
Upinzani Tanzania Wana nia mbaya ya kuchafua uchaguzi wetu washindweeeeView attachment 1614879View attachment 1614880View attachment 1614881View attachment 1614882
haya ya kula feki wamepigwa bao.. walifikiri watanzania hajitambui.. eti upinzani chadema wakapanga ya kula feki huku watu wanamiminika kupiga kura kama kawa.. Maendeleo na uongozi wa kihistoria unaenda kubeba 5 tenaaaaaaaaa [emoji169] [emoji172] [emoji169] [emoji172] [emoji169]
Kumbe kiswahili kigumu hivi[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
HALIMA MDEE NA WANACHADEMA NA ACT WAZALENDO WAIBUA WIZI MKUBWA SANA WA KURA
maandishi yangu ya kuburudikagwa kwa humu jei efu..
na kulewo furaha sana.. [emoji169] [emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169]
Ni dhahiri sasa hakuna kukubali Matokeo
Askofu wangu katika kashfa ya wizi sasa
.Kuanzia kesho asubuhi tegea tv uangalie, msije mkaanza kujiua