Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Mkuu tapeli, mhuni na mzinzi hawezi kuwa Mungu labda ni mungu wa MAZWAZWA nileteeeeeeni gwajimaaaaaaaaaaa
Huyu Gwajima halafu kesho-keshokutwa akahubiri kanisani. Ujinga mtupu hawa wanaojiita watumishi wa Mungu na makanisa yao.
 
Mzee lipumba anahoji.
Kwanini namba ya mpiga kura inaandikwa kwenye karatasi yake ya kupigia kura?..
Kama wewe NI ccm na umepiga kura kwa mpinzani TUTAKUJUA TUUU[emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20201028-153052.jpg
 
Wamezitoa wapi? Kwa nan? mbona habari haijakamilika mkuu.
Sikiliza kwenye clip wanasema waliyemkuta na hizo kura za JPM na Gwajboy kakimbia.
Sijui leo nipoje yaani tangu nimeamka naskia kale kawimbo ka Zuchu maskioni...
Mpigie Sugu akusukugue kwani mwenyekiti wenu alisema MaCCM mnataka kumpa Sugu kazi ya Kuwasugua.
 
Sikiliza kwenye clip wanasema waliyemkuta na hizo kura za JPM na Gwajboy kakimbia.

Mpigie Sugu akusukugue kwani mwenyekiti wenu alisema MaCCM mnataka kumpa Sugu kazi ya Kuwasugua.

Atakusugua wewe this time. Jiandae tuu
 
#NGUVU YA KURA NA MZAHA WA WANASIASA: Kuna uzi unazunguka unaonesha kura zidhaniwazo ni feki zikichomwa moto na baadhi ya wananchi huko Kawe-Dar

Maswali yanajitokeza hapa bayana

1. Nani alikuwa na hizo kura zinazohisiwa ni za kughushi?
2. Kura hizo zilikutwa wapi na mazingira gani ya kuhusisha wasimamizi wa uchaguzi?
3. Mtuhumiwa wa uharifu huo yuko wapi?
4. Ni eneo gani hizo kura zilikutwa ndani ya jimbo Kawe na mashuhuda wasiokuwa na upande wa ushabiki wa kiitikadi ni akina nani kuthibitisha tukio hilo?

5. Je, tume ya uchaguzi ilijulishwa kuhusiana na tukio hilo na wakachukua hatua au walipuuza?
6. Kwanini tukio kama hilo la kijinai lisitolewe taarifa polisi kwa hatua stahiki za kiuchunguzi na kisheria ili ukweli uekwe wazi kuondoa mashaka ya utaratibu uliotumika kuziteketeza bila maelekezo ya mamlaka husika?

7. Ilikuwaje, mtuhumiwa mwenye kabrasha lenye karatasi zinazoshukiwa ni ghushi awatoroke watu makini na wengi kiasi hicho?

8. Kulikuwa na uhalali gani wa wananchi walioamua kwa makusudi kushauriana wenyewe wazitekeze kura ghushi huko wakirekodi video ambayo baadae ilirushwa kwenye mitandao ya kijamii pasipo hofu ya kuingilia sheria na kunyima HAKI na kujua ukweli halisi wa tukio hilo?

Ona hiki kilichotokea hapo

1603889103001.png


Reference: https://www.jamiiforums.com/data/video/2604/2604112-53e5c4e7e1017bceed0cdad1d4e50a43.mp4

#WITO: Mamlaka husika tafdhali shughulikieniu hili kwa kuwa tayari taarifa hiyo pamoja na kwamba watu wengi wameisoma, au kuiona lakini imeenda hadi nje ya mipaka ya nchi na kuchafua taswari ya taifa la Tanzania. Ikipuuzwa na mamlaka husika basi tutaamini kwamba ni kweli kilichotokea kilikuwa halisi na chenye nia OVU. Hatua zichukuliwe haraka
 
Ulaaniwe wewe na ukoo wako wote, kama uyasemayo hapa ni uongo. Imekuwa
Laana ikujilie mwenyewe. Ninaifuta mara 100.

Mimi ninafanya kazi kwenye ofisi moja, kitengo kimoja na kituo kimoja na wachungaji wadogo MP's 2 wa Gwajima. Na ukiendelea kubisha nitakutajia majina yao. Mmoja kati yao alishiriki upigaji wa kura fake usiku.
 
Back
Top Bottom