Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Sasa ukimuona mtuhumiwa itakusaidia nini?.
Hayo ni makaratasi ya NEC.
Unataka kusema yameibwa?.
Huo ni mpango
Ingekuwa bora mngetuonesha aliyekamatwa nazo lakini si kutuonyesha kwamba zimekamatwa wakati mtuhumiwa hayupo ndio nini sasa,labda mumeamua kupotosha umma ili ieleweke kuwa ni kweli kumbe usanii ,sasa nimeanza kuona umuhimu wa kuzima mitandao maana haya wanaoona hawafiki hata 1000
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].semina za jinsi ya kupiga kura.
Karatasi walipewa ccm tu.ok sawa
Hayo maigizo ya wachaga hawa, wote hao wanaongea kilughalugha cha kichaga.

Hizo karatasi hakuna hata karatasi moja ya kura kwa waliopiga kura leo. Ni makaratasi ya sampuli walizokuwa wanafanya CCM kwenye semina zao namna ya kupiga kura.

Angalia hapo hayo makaratasi sio ya NEC.

HUU USANII WENU MWISHO LEO.
 
Hili ni swali kwa mawakala wa Chadema,wagombea na viongozi. Kuna baadhi ya vituo vinekutwa na kadhia ya kukutwa na kura feki. Nimepata taarifa huko jimbo la Kawe wamekamata kura feki na kuzichoma moto.

Hizo kura ni ushahidi wa mahakamani ikiwa atatangazwa mtu asiyestahili. Utafutwe utaratibu wa kutunzwa
 
Jazba kama lote[emoji16][emoji16][emoji1241][emoji870][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji106]
Ndio sheria hii, nilijua tu wewe ni vuvuzela wa lumumba unayeropoka kujibu utumbo ili kujifurahisha wewe na wajinga wenzako, wewe ni mdoli tu.
 
Leo Halimwa anaweweseka.. haa haaa haaaaa.. ni kama lipania leo iwe ngumi ngumi.. bahati mbaya ni kwamba Kawe wamemchoka.. hata aki copy makaratasi na kudanganya ya Magufuli.. hayatamsaidia.. akalale tu.. sio kutaka kupigana na polisi.. 💚 💛 💚 💛 💚
 
Ndio sheria hii, nilijua tu wewe ni vuvuzela wa lumumba unayeropoka kujibu utumbo ili kujifurahisha wewe na wajinga wenzako.
Pole mwaya, nitakujibu kesho asubuhi nikimaliza majukumu😃😃😃
 
Leo Halimwa anaweweseka.. haa haaa haaaaa.. ni kama lipania leo iwe ngumi ngumi.. bahati mbaya ni kwamba Kawe wamemchoka.. hata aki copy makaratasi na kudanganya ya Magufuli.. hayatamsaidia.. akalale tu.. sio kutaka kupigana na polisi.. 💚 💛 💚 💛 💚
Sijui leo nipoje yaani tangu nimeamka naskia kale kawimbo ka Zuchu maskioni...
 

HALIMA MDEE NA WANACHADEMA NA ACT WAZALENDO WAIBUA WIZI MKUBWA SANA WA KURA
 
Nami hili limenifikirisha
Kwani kesi utaipeleka wapi? Ni heri wamechoma ili polisi wasije wakazichukua na kuzirudisha kwenye masunduku ya kura.

Hawa vijana wanaakili sanaa. Acha tu, nyie ishini mnakoishi, lakini bongo waachie wabongo wenyewe. Wanajua kuwa mahakimu ni wao wenyewe wale wa serikali ni boya tu.

Hongera vijana, msiwasikilize hawa wanojiita wasomi, wakidhani waliyosoma shule juu ya muhimili wa mahakama eti yapo TZ, watachelewa sana.

Endeleeni kuchoma moto kila mtapozifuma kura hewa.
 
Hayo makaratasi ni Yale ambayo yamekamatwa vipi ambayo hayajakamatwa?.
Wameingiza kura ngapi CCM kwa mtindo huu?.
Ikiwa mjini Hali ipo hivi .je huko vijijini si ndo mtafanya shamba la Bibi.
Mnadumbukiza tu mikura kwenye mabox[emoji16][emoji16][emoji16]..
TUME HURU,TUME HURU,TUME HURU
kweli kabisaaaaaa.. wasipo shitaki.. wanyamaze tu..wanajua leo wanapigwa kihistroria bila wasiwasi...[emoji172][emoji169][emoji169][emoji172]
 
Back
Top Bottom