Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Halima alizoea ujanja ujanja safari hii umepatikana. Wewe tengeneza habari kwa mabeberu wako, lakini jimbo hupati.
Hahahhaa Dah Naangaliaa hii Habari Nimeamini Upinzani haustahili hata dakika moja kuchukua hii nchii. Huu ni upumbavu izi karatasi unaweza zidublicate kwa maelf na ukafanyia maonyesho kama haya
 
Ushahidi kuchomwa moto bila vyombo vingine kushuhudia ni utata mwingine

Tukusema hizo kura waliandaa chadema, halafu wakazikamata chadema wenyewe ili kuchafua zoezi la uchaguzi, kisha wakazichoma moto ili kupoteza ushahidi tutakua sawa zaidi

Maendeleo hayana vyama

Cc Mariki boy Pendael24 Bia yetu cocochanel 1954 Wakudadavuwa NAWATAFUNA Da'Vinci
Mnaliwazana tu kwa ujinga wenu, mnakomalia ushahidi huo wakati kuna ushahidi mpaka wa video, magamba nyie ni wajinga kweli.
 
Bangi na hela kila siku zinakamatwa, ni lini umeziona zikipelekwa mahakamani zaidi ya polisi kujinufaisha nazo?
Ona ulivyo na kichwa cha panzi, hivi wewe upate ushahidi utakaoweza kukusaidia halafu uuchome moto?? Acheni kutuletea drama za Faru John
 
Wananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawaView attachment 1614622
Nonsense,hizo kura kwanini zisihesabiwe ili zijulikane zilikuwa ngapi,kituo kipi kura hizo zilikamatwa?, hao wanaochoma ni mawakala, wasimamizi,au wapiga kura?
kwanini wachome ushahidi ambao ungetumika vizuri kuwawajibisha wahusika ikiwemo wasimamizi?
 
Hizo kura zilizokamatwa ni za kituo gani?

CDM bwana kwa kupenda sinema. Karatasi zenyewe ukiziangalia tu zimekaa kiasarahasara na wala azifananii.

Kila kituo kina idadi ya wapiga kura na majina yao. Ukifika jina lako linapigwa tick ndio unapiga kura. Mwisho wa siku yanaagaliwa majina mangapi yalijitokeza na kulinganishwa na tally kwenye masanduku ya kura.

Kama kituo kina wapiga kura 30,000 waliojitokeza 18,000 na kuhakikiwa mbele ya mawakala basi na kura aziwezi zidi 18000 hapo kura feki sijui unaziingiza vipi.

Yaani ukiwa mfuasi wa CDM lazima uwe mbutika wa kuweza amini kila kitu.
 
2020 - 2025 nchi haitawaliki, vyombo vya dola wanatakiwa wawe makini au lasivyo nchi inaharibika ndani ya muda mfupi sana.

Hatua inayofuata ni wananchi kuingia mtaani, kama mambo haya yataendelea.

Wananchi wa Kawe watazaa na huyo mcheza filamu za X wanaolazimishwa kupewa na CCM.
Hakuna mwenye uthubutu wa kuingia kwenye mtaa wowote
 
Kama unajadiliana na kiazi Bila Shaka huna kitu kichwani.wazushi wakubwa nyie.yaani mnaandaa kura fake na kuzichoma Moto ili iwe Nini?
Mlikuwa mnadanganyana mtashinda kihalali nyie wapuuzi, ndio maana mka print hizo papers jamana halafu mlivyokosa akili mkajidai watu wanaruhusiwa kurudia kupiga wakikosea, kumbe zile zinazobaki mnazirudia wenyewe wapumbavu mnawapigia kura kina tapeli gwajima, hii aibu haifichiki popote bora muiname tu.
 
Ona ulivyo na kichwa cha panzi, hivi wewe upate ushahidi utakaoweza kukusaidia halafu uuchome moto?? Acheni kutuletea drama za Faru John

Kwa vyombo na mahakama zipi utegemee huo kuwa ushahidi? Polisi na mahakama ni taasisi zinazotumika kuficha ukweli.
 
Back
Top Bottom