Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wagombea wa CHADEMA kila siku wanalalamika kutukanwa lakini tume haijawahi kuwaita mbona hawa watu wa CCM?Hawa wote wawili, Bi Halima na Mch. Gwajima wote kwa nyakati tofatitofauti wanajibizana Vijembe na kutukanana, sasa isije ikawa ya Kwamba anayewahi Police kushitaki ndie usikilizwa Kwanza na kupata advantage. Tume hii HURU iwe Makini Isije kujikuta Inakisaidia Chama Cha Mapinduzi kupooza au Kupunguza momentum ya Mashambulizi toka kwa washindani wao "Vyama Vya Upinzani'
Kwani kutowajibika kwa walio kuchagua ndio imekuwa kigezo kipya cha mgombea kuchaguliwa, tunaenda wapi? PIGA CHINI.Naunga mkono hoja ya Halima Mdee, GWAJIMA NI CHOKORA, ANAZINI NA WAUMINI WAKE , TENA ANAWATUMIA WASICHANA WADOGO, ANAWA BLACK MAIL KWA KUTUMIA DINI NA MAMBO YA KISHETANI.
GWAJIMA NI CHOKORA, KILA MTANZANIA MWENYE NIA NZURI NA KAWE NA TZ, AMUUNGE MKONO HALIMA
Hahahahahahahahha! Wewe unaweza kumtukana upendavyo. Nani anakujua!?? Ahahahahahahahah!Naunga mkono hoja ya Halima Mdee, GWAJIMA NI CHOKORA, ANAZINI NA WAUMINI WAKE , TENA ANAWATUMIA WASICHANA WADOGO, ANAWA BLACK MAIL KWA KUTUMIA DINI NA MAMBO YA KISHETANI.
GWAJIMA NI CHOKORA, KILA MTANZANWENYE NIA NZURI NA KAWE NA TZ, AMUUNGE MKONO HALIMA
Wanafundishwa wajue kuwa Mikutano ya Kampeni ni mahali pa kueleza sera na ilani za vyama kuhahidi mtawafanyia nini Wananchi, sio kupiga matusi, vijembe na kukashfu watu wengine. ndio makubaliano ya kanuni na maadili za uchaguzi waliyoweka saini.NI UTAWALA HUU TU NDIO UNACHUKULIA MAMBO YA PROPAGANDA SERIOUS.
HUKU MOSHI VIJIJINI KUNA MGOMBEA UDIWANI WA CHADEMA AMESIMAMISHWA KUENDELEA NA KAMPENI KISA TU ANATUMIA WIMBO WA LADY JD WA YAHAYA KUMSEMA MGOMBEA WA CCM KUA ANAISHI KWA WAZAZI WAKE HADI LEO.
Alitakiwa aandike.Na yy alivo muita mwenzie bi kidude..mbona mdeee hakuandika mibarua awe mpole tu dawa nae imuingie