Miss Makandana
Member
- Sep 28, 2020
- 83
- 13
Kweli halima unakauli chafu sana na unafanya hata wale tuliokuwa tunakuheshimu hatutakuheshimu tenaMalalamiko yaliyofikishwa kwenye tume ya maadili ya uchaguzi ni pamoja na kumuita Gwajima kuwa ni Chokoraa, aidha ametoa madai yasiyoweza kuthibitika ni kudai kuwa mchungaji Gwajima anatembea na kondoo wake, ni mtu anayetafutwa huko Japan kwa kutembea na mke wa mchungaji
Pia amedaiwa kusema kuwa mchungaji Gwajima kanisa lake lina vyumba vinavyotumika kula kondoo
View attachment 1594790
View attachment 1594791
View attachment 1594792