Uchaguzi 2020 Kawe: Halima Mdee alalamikiwa kukiuka maadili ya uchaguzi kwa kutumia lugha ya matusi na kashfa

Kwani uongo?
Si anawala kondoo kweli ktk hivyo vyumba? Si wanakondoo wanasema? kwani yeye amebisha?
Hebu tume na nyie acheni utopolo wenu? Ni yeye amelalamika au ni watu wanamsaidia kulalamika?
 
Hi unaelewa maana ya kudhibitisha kosa. U aweza aambiwa lete Original toka iliporekodiwa unaweza wasilisha?
 
Kwani uongo?
Si anawala kondoo kweli ktk hivyo vyumba? Si wanakondoo wanasema? kwani yeye amebisha?
Hebu tume na nyie acheni utopolo wenu? Ni yeye amelalamika au ni watu wanamsaidia kulalamika?
Kwahiyo huyo aliyesema Jukwaani ni mmoja wa wanakomdoo walioliwa. Hahahaaaaa
 
Siasa siasani
Nadhani gwaji ma alijiandaa kwa sarakasi zote hizi
In fact hizi ndizo siasa zenyewe sasa
Apambane
 
Kwa Maoni yangu .
Huyu mtu aliyemshauri kupeleka malalamiko haya; hana tofauti na yule aliyemshauri aende kwa. Baba Askofu Pengo kuomba msamaha kwa ajili ya kutafuta kura tu .Hata kama Mh Halima atapewa adhabu kusimamisha kampeni lakini Gwajma atapoteza zaidi.

Anayejua siasa anampoteza kushughulika na vijembe ambavyo havina mashiko.
Ndio maana Mh Halima alipotukanwa kuwa ni Bib kidude huoni akilalamika rasmi;
akijua ni tope.
 
Video zitumwe wasikilize waamua kwa haki.
 
Gwajima kazidiwa,kaishiwa pumzi
 
Huyo Mvuta Ngada Kaishiwa Hoja
Na kaelewa mwaka huu Analo
 
Gwajima hajui siasa.Ingekuwa kulalamika nchi hii mtu wa kulalamika angekuwa Kikwete
 
Dah Sasa huyo naye alienda kulalamika Nini? Wangeufungia wimbo sio mgombea
 
Itakuwa kaishiwa sera huyo si bure.
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
 
Mabibi na mabwana heshima kwenu.

Konde boy ana wimbo maarufu ndani yake ukimtajataja gwaji boy ambao ukipigwa hata mwenyekiti wetu hunesanesa kwa mbwembwe.

Wimbo huu umepigwa mara kadhaa wagombea wote wa majimbo ya Dar wakiwapo na wote bila kujitofautisha wakanesanesa vilivyo.

Maneno yaliyoko kwenye wimbo huu ndiyo msingi wa lalamiko #2 kwenye waraka huu:



Labda kama waraka huu ni feki.

Kuwa fair, wa kulalamikiwa ni mwenye wimbo na si anayeyanukuu toka kwa mwenye wimbo.

Wakati tume, malalamiko ya watuhumiwa wengine mnayakalia yetu macho kuona mlalamikiwa hapa atakuwa nani.

Kwamba sasa tumechoka kwani ni siri tena?

Muda mbona utajibu?
 
..ccm ndio walioanza kampeni za vijembe na mipasho.

..sasa inaelekea wamezidiwa wanakimbilia kushtaki kwa tume.

..wazungu wana msemo,"..if you live in a glass house dont throw stones.."

..Gwajima ana makando-kando mengi ktk maisha yake, hakupaswa kujiingiza ktk harakati za uchaguzi.
 
Chadema bila kupelekwa mahakamani huwa hawaridhiki coz wamezoea vurugu kila mara inakuwaje badala ya kunadi sera zako kama mtu unayejielewa unaanza kumkashifu mgombea mwenza hiyo sio akili Huyo Halima mwenyewe hana akamilifu wowote hvyo kavunja sheria na lazima ahazibiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…