Uchaguzi 2020 Kawe: Halima Mdee alalamikiwa kukiuka maadili ya uchaguzi kwa kutumia lugha ya matusi na kashfa

Kweli halima unakauli chafu sana na unafanya hata wale tuliokuwa tunakuheshimu hatutakuheshimu tena
 
Waache wananchi wenyewe waamue yeye kakosea kumsema vibaya hivi unadhani Gwajima kukaa kimya yeye n mjinga kumuita mwanaume Rijali kabsa kama Gwajima mrembo ni sawa huyu bi Dada anadharau sana hvyo anapaswa kuahazibiwa ajibu mashitaka mapema kabla hajamkuta ya kumkuta
 
hizi zilipendwa unafukua makaburi tupe hoja za maana hapa tukuelewe
 

Ndo anakwenda kupigwa pini na Tume sasa, endelea kumuunga mkono tu, ...
 
Haujui kitu ni Bora ukae kimya mimi mwenyewe ningeitwa bibi kidude ningefurahi maana ni jina la Legend Gwajima hakumuita bibi kidude kwa ubaya bali yeye alimuita jina lenye sifa nzuri ili kumpa heshima maana anaelewa kuwa mwanamke lazima aheshimiwe lakin Yule Halima kwenye kampen zake wakati wanazindua kawe alimuita Gwajima mrembo hii ni sawa yan mwanaume Kama Gwajima n mrembo kweli alafu unaitwa na Mwanamke waza tu ingekuwa n wewe unafamilia yako alafu unaitwa mrembo
 
Kilicho dhahiri huyu bwana ni tapeli na mhuni. Hata hatuwezi kumwita ni mzinzi maana ni aheri wazinzi wana staha. Huyu bwana kufanya uzinzi huku akijirekodi, ni uhuni na uchafu wa hali ya juu.

CCM imetudharau sana wakazi wa jimbo la Kawe, kiasi cha kufikia kutuletea tapeli eti tumchague awe mwakilishi wetu. Ni aheri kuwakilishwa na Kingwendu kuliko huyu tapeli aliyejipachika uaskofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo chokoraa ana danguro pia huko kunduchi huuza mademu kwa watalii
Halima amsahau kulisema hilo acha niliseme mimi
 
Uyu halima ndio kazi anayojua anashindwa kunadi sera anakalia kumtukana mgombea mwenza na ndicho kilichokuwa kinaendelea miaka kumi anashindwa kuleta maendeleo kwenye jimbo letu amekalia uchochezi amezidi sana uyu mbibi sisi wanakawe tumeshamchoka tunakwenda kufanya mabadiliko.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 

..hizo ni dalili za Gwajima kuelemewa.

..Alifikiri ule utapeli wake wa kufufua wafu utafanya kazi huku kitaa.

..Tume isiingilie. Imuache Gwajima apambane na hali yake.
 
Chokora ni wewe kwa taarifa yako wanakawe atutaki ata kumsikia uyo halima awamu hii tunabadilisha upepo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Acha upuuzi we mbwa koko chuki zako usitake kuambukiza wengine sote tunawajua chadema mlivyowachafu wa kupindukia mambwa nyie
 
Unaona sasa. Angebaki zake madhabahuni, haya yote yasingemkuta.
Huwezi kutumikia mabwana wawili ukabaki salama.
 
Unaona sasa. Angebaki zake madhabahuni, haya yote yasingemkuta.
Huwezi kutumikia mabwana wawili ukabaki salama.
Huo n ushamba wako wewe kazi ya Mungu inaendelea kama kawaida acha uchawi kama unasoma kweli biblia utagundua watu wengi walmtumikia Mungu na kutawala nchi pia hvyo Gwajima sio wakwanza kuwa mwanasiasa na mchungaji wako wakina Daniel
 
Halima atosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…