Mbuzingombe
JF-Expert Member
- Apr 14, 2024
- 353
- 828
Kanunua nyumba hapa mbezi Beach karibu na Kidimbwi juzi tu,Huyo mwamposa na yeye akitaka nyumba anaomba kwa Mungu then asubuhi anaikuta, au anadai waumini wamchangie sadaka ya pesa ili akajenge? Nijibu kwanza then nitafanya maamuzi ya kumbeza au kumkubali
Mungu mkuu sanaNipo hapa Kawe
Watu ni wengi sana hasa toka Mataifa ya mbali,
Roho inaniuma kuona Watanzania wanabeza hii madhabahu wakati wengine toka Mataifa ya mbali wameshaweka kambi hapa.
Hata kama atanunua ndege lazima ujue baraka za Mungu ni nyingí sanaKanunua nyumba hapa mbezi Beach karibu na Kidimbwi juzi tu,
Wajinga endeleeni kumchangia,
Sisi majirani tumepata mdau wa maendeleo mtaani kwetu,
NitakuwepoNipo hapa Kawe
Watu ni wengi sana hasa toka Mataifa ya mbali,
Roho inaniuma kuona Watanzania wanabeza hii madhabahu wakati wengine toka Mataifa ya mbali wameshaweka kambi hapa.
Nitakuwepo
Hata ya Babu wa Loliondo ilikuwa hivyo Leo Kiko wapi? Kakobe je?Nipo hapa Kawe
Watu ni wengi sana hasa toka Mataifa ya mbali,
Roho inaniuma kuona Watanzania wanabeza hii madhabahu wakati wengine toka Mataifa ya mbali wameshaweka kambi hapa.
Ndio akina nani hao?Mambugila ni wengi
Ova
NipoNipo hapa Kawe
Watu ni wengi sana hasa toka Mataifa ya mbali,
Roho inaniuma kuona Watanzania wanabeza hii madhabahu wakati wengine toka Mataifa ya mbali wameshaweka kambi hapa.
Mtafeli tu lazima,Na sie tumeenda kwenye madhabahu zetu huku matombo,, msitupigie kelele
Nyie mmefaulu kwani??Mtafeli tu lazima,
Mungu akubariki sana endelea kubarikiwaAcheni wivu na uyo mwamposa..ni mtu amejitafuta amejipata..
Wewe na umaskini wako acha makasiriko..tumpe support mtanzania mwenzetu...mm ntakua kutafuta cheap labour kwenye uo mkesha..
Asante mtumish mwamposa umenisaidia kuwasafirisha wafanyakaz toka mikoani...umeokoa nauli zangu!!!fanya hyo mikesha kila mwenz