KAWE: Huenda huu mkesha wa ijumaa kwa Mwamposa ukawa ndio mkesha mkubwa zaidi kuwahi kufanyika Tanzania

KAWE: Huenda huu mkesha wa ijumaa kwa Mwamposa ukawa ndio mkesha mkubwa zaidi kuwahi kufanyika Tanzania

Huyo mwamposa na yeye akitaka nyumba anaomba kwa Mungu then asubuhi anaikuta, au anadai waumini wamchangie sadaka ya pesa ili akajenge? Nijibu kwanza then nitafanya maamuzi ya kumbeza au kumkubali
Kanunua nyumba hapa mbezi Beach karibu na Kidimbwi juzi tu,
Wajinga endeleeni kumchangia,
Sisi majirani tumepata mdau wa maendeleo mtaani kwetu,
 
Madhabahu yangu halisi mimi Gamic ni moyo wangu .

Yeremia 31:33-34 : "Basi agano hili ndilo nitakalofanya , baada ya siku zile asema Bwana : Nitatia sheria yangu ndani yao , na katika mioyo yao nitaiandika . Nami nitakuwa Mungu wao , nao watakuwa watu wangu . Wala hawatamfundisha kila mtu jirani yake na kila mtu ndugu yake , wakisema mjue Bwana , kwa kwa maana watanijua wote , tangu aliye mdogo miongoni mwao hata aliye mkubwa miongoni mwao , asema Bwana . "

Kwa andiko hili , naamini madhabahu ya moyo wangu mimi Gamic ina Nguvu zaidi kuliko madhabahu zingine .
 
Acheni wivu na uyo mwamposa..ni mtu amejitafuta amejipata..

Wewe na umaskini wako acha makasiriko..tumpe support mtanzania mwenzetu...mm ntakua kutafuta cheap labour kwenye uo mkesha..

Asante mtumish mwamposa umenisaidia kuwasafirisha wafanyakaz toka mikoani...umeokoa nauli zangu!!!fanya hyo mikesha kila mwenz
 
Mungu akubariki sana endelea kubarikiwa
 
Back
Top Bottom