Ameogopa kuteketeza laki yake.Wewe umechukua form wapi?
Babu, comment yako sijaifurahia kiukweli. Imekuwa fupi mno [emoji28][emoji4][emoji4]Inawezekana wanaamini kuwa mbunge Wa Sasa ni rahisi kumuangusha. Na endapo Mdee atashinda tena basi hao 176 watatakiwa wasiruhusiwe kushika nafasi yoyote ya uongozi wa lisiada kwa miaka mitano ijayo!! Wananchi wa Kawe wakiwakataa wote hao litakuwa ni somo katika siasa!
Duh! Hii ndo THE BEST REPLY OF THIS POST[emoji38][emoji38][emoji38].Hakuna majukumu Kawe. Wanufaika wa uchumi wa kati wengi wapo Kawe. Ukipata Ubunge wa Kawe usitegemee kugongewa mlangoni na vilio vya shida.
Jibu ni rahisi tuWanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na sasa nimestaafu rasmi na kurejea nyumbani Kawe, hivyo mimi ni Kawe na Kawe ni mimi!.
Pazia la kujaza fomu za ubunge na udiwani za CCM limefungwa rasmi leo saa 11:00 jioni, jimbo la Kawe, wamejitokeza wagombea 176!, ambapo wagombea 175 watakatwa na atabaki mmoja. Kuchuja wagombea 176 ili kumpata mmoja, it's not a joke, na akipatikana huyo mgombea mmoja, he/she must be the best of the best.
Swali ni Kawe kunani hadi jimbo liwe hot cake namna hii?. Watu 176 kugombea nafasi moja!, this is not normal, haijapata kutokea!, what is so special about Kawe hadi wapigane vikumbo hivyo?!.
My Take.
Vikao vya maamuzi vya CCM, vitakuwa na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na akipatikana, he/she will be the best of the best!.
Nashauri wale wagombea wengine 175 watakao chinjjwa, sasa ndio wawe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe.
Ili kuirahisishia kazi vikao vya mchujo, majina ya wagombea yakiwekwa hadharani, tusaidie kuwafanyia vetting by elimination wale tunaowajua kuwa sio ili jimbo la Kawe lipate Mbunge bora zaidi ya aliyepo.
Kwa vile mimi ni mkazi wa Kawe, na wana Kawe sio wale watu wa type ya t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja, vikao vya uteuzi vya CCM vikifanya tena makosa yale yale ya kututeulia wagombea wenye majina makubwa lakini hawana uwezo wa kujieleza na hawana mvuto, wana Kawe kama kawaida yao...
Naomba nisimalizie...
CCM Oye!
Paskali
Kweli kabisa. Ingawa pale kuna kijana Muta Rwakatare alijiandaa muda mrefu sana kuwa mbunge.Naona kabisa kuwa ndiye atakayepitishwa na ccm kwa jinsi anavyojua kuchonga mdomo ili akaitetee serikali vzr.
Kawe atapita Yusuph Mwenda kwa ccmKweli kabisa. Ingawa pale kuna kijana Muta Rwakatare alijiandaa muda mrefu sana kuwa mbunge.
Pia Kipi Warioba + Mashinji nao si haba.
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Huyu sidhani ila atatumika km mpiga debe nchi nzima kisha anaukwaa ubunge wa jimbo la ikuluGwajima anatosha.
Na ameshaanza kumwaga mpunga kama hana akili nzuri.
Hivi ukitumia hela za sadaka kuombea kura sio dhambi?
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Lakini Mdee atapambana na mmoja tu, si 176.Inawezekana wanaamini kuwa mbunge Wa Sasa ni rahisi kumuangusha. Na endapo Mdee atashinda tena basi hao 176 watatakiwa wasiruhusiwe kushika nafasi yoyote ya uongozi wa lisiada kwa miaka mitano ijayo!! Wananchi wa Kawe wakiwakataa wote hao litakuwa ni somo katika siasa!
Ni hatari kweli hadi Paul Mashauri naye yumo kwenye kinyang'anyiro ,siri ya kujitokeza wengi ni kwamba wamemkubali magufuli.