Uchaguzi 2020 Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

"Tupate mbunge bora"
Kiongozi wa umma anateuliwa na ccm?

Kwa hiyo paschal tayar umeshamkata kipi?
Kwa manufaa ya kawe tuseme kweli tu upinzani umeshindwa kujiaminisha kwa umma si wenyeviti walioondoka au madiwan na mbunge wote wanakimbia wanakawe na shughuli zao

Lkn halima naweza shinda tena kwa kuwa kina paschal n wachache huko kawe

Niliwahi ishi hapo 501 kwa dada yangu mpaka nilipofariki kimwilo
 
Inawezekana wanaamini kuwa mbunge Wa Sasa ni rahisi kumuangusha. Na endapo Mdee atashinda tena basi hao 176 watatakiwa wasiruhusiwe kushika nafasi yoyote ya uongozi wa lisiada kwa miaka mitano ijayo!! Wananchi wa Kawe wakiwakataa wote hao litakuwa ni somo katika siasa!
Babu, comment yako sijaifurahia kiukweli. Imekuwa fupi mno [emoji28][emoji4][emoji4]
 
Inaelekea wengi wanategemea kuwa kwa sababu piga, ua lazima Halima Mdee ashindwe basi atakayepata uteuzi wa kuwakilisha CCM ana uhakika wa kushinda kwa 100%.

Amandla...
 
Wanabodi,

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na sasa nimestaafu rasmi na kurejea nyumbani Kawe, hivyo mimi ni Kawe na Kawe ni mimi!.

Pazia la kujaza fomu za ubunge na udiwani za CCM limefungwa rasmi leo saa 11:00 jioni, jimbo la Kawe, wamejitokeza wagombea 176!, ambapo wagombea 175 watakatwa na atabaki mmoja. Kuchuja wagombea 176 ili kumpata mmoja, it's not a joke, na akipatikana huyo mgombea mmoja, he/she must be the best of the best.

Swali ni Kawe kunani hadi jimbo liwe hot cake namna hii?. Watu 176 kugombea nafasi moja!, this is not normal, haijapata kutokea!, what is so special about Kawe hadi wapigane vikumbo hivyo?!.

My Take.
Vikao vya maamuzi vya CCM, vitakuwa na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na akipatikana, he/she will be the best of the best!.
Nashauri wale wagombea wengine 175 watakao chinjjwa, sasa ndio wawe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe.

Ili kuirahisishia kazi vikao vya mchujo, majina ya wagombea yakiwekwa hadharani, tusaidie kuwafanyia vetting by elimination wale tunaowajua kuwa sio ili jimbo la Kawe lipate Mbunge bora zaidi ya aliyepo.

Kwa vile mimi ni mkazi wa Kawe, na wana Kawe sio wale watu wa type ya t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja, vikao vya uteuzi vya CCM vikifanya tena makosa yale yale ya kututeulia wagombea wenye majina makubwa lakini hawana uwezo wa kujieleza na hawana mvuto, wana Kawe kama kawaida yao...

Naomba nisimalizie...

CCM Oye!

Paskali
Jibu ni rahisi tu
Ajira zimekuwa scarce, watu hawana kazi
Ndio Maana wamejitokeza wengi
 
Inawezekana wanaamini kuwa mbunge Wa Sasa ni rahisi kumuangusha. Na endapo Mdee atashinda tena basi hao 176 watatakiwa wasiruhusiwe kushika nafasi yoyote ya uongozi wa lisiada kwa miaka mitano ijayo!! Wananchi wa Kawe wakiwakataa wote hao litakuwa ni somo katika siasa!
Lakini Mdee atapambana na mmoja tu, si 176.
 
Kawe TE="Pascal Mayalla, post: 36046126, member: 17813"]
Wanabodi,

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na sasa nimestaafu rasmi na kurejea nyumbani Kawe, hivyo mimi ni Kawe na Kawe ni mimi!.

Pazia la kujaza fomu za ubunge na udiwani za CCM limefungwa rasmi leo saa 11:00 jioni, jimbo la Kawe, wamejitokeza wagombea 176!, ambapo wagombea 175 watakatwa na atabaki mmoja. Kuchuja wagombea 176 ili kumpata mmoja, it's not a joke, na akipatikana huyo mgombea mmoja, he/she must be the best of the best.

Swali ni Kawe kunani hadi jimbo liwe hot cake namna hii?. Watu 176 kugombea nafasi moja!, this is not normal, haijapata kutokea!, what is so special about Kawe hadi wapigane vikumbo hivyo?!.

My Take.
Vikao vya maamuzi vya CCM, vitakuwa na kazi kubwa ya ziada ya kuchuja wagombea 176 ili kumpata mgombea mmoja bora, kuliko wote, na akipatikana, he/she will be the best of the best!.
Nashauri wale wagombea wengine 175 watakao chinjjwa, sasa ndio wawe wajumbe wa Kamati ya kujitolea ya ukombozi wa jimbo la Kawe.

Ili kuirahisishia kazi vikao vya mchujo, majina ya wagombea yakiwekwa hadharani, tusaidie kuwafanyia vetting by elimination wale tunaowajua kuwa sio ili jimbo la Kawe lipate Mbunge bora zaidi ya aliyepo.

Kwa vile mimi ni mkazi wa Kawe, na wana Kawe sio wale watu wa type ya t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja, vikao vya uteuzi vya CCM vikifanya tena makosa yale yale ya kututeulia wagombea wenye majina makubwa lakini hawana uwezo wa kujieleza na hawana mvuto, wana Kawe kama kawaida yao...

Naomba nisimalizie...

CCM Oye!

Paskali
[/QUOTE]
Kawe bado hakuna MTU bora zaidi ya halima mdee weka kumbukumbu sawa tukutane Oct 25
 
Kwenye Uzi huu Mayala anajinasibu Kama mtu mashuhuri hapo kawe. Anawaita kiaina wake wagombea 176 ili wamwone!! Ndiyo mtu mashuhuri lazima umwone ili mambo yako yanyoke! Mtu mashuhuri huwezi kumwona ukuwa na mikono mitupu! na hayo ndiyo mahesabu aliyolenga Mayala kwenye Uzi huu!! Mtu mashuhuri huwezi kumwona na kamsimbazi kamoja!! Umekosa Sana Ni vimsimbazi vitano!! Lakini vimsimbazi kumi hivi ndo mpango mzima.
Basi tuseme vimsimbazi vitano Mara 176 hapo Ni zaidi ya milioni Mia nane!! Ni mavuno makali! Ndiyo maana jamaa kajieleza Sana kuwa yeye Ni kawe na kawe Ni yeye. Kwa maneno mengine anawaambia watia Nia kuwa yeye ndiye kawe maana yake ukimpata Mayala umeipata kawe!! Anashawishi apate k*tu kid*go! Tak*kuru mpo?
 
Back
Top Bottom