Uchaguzi 2020 Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

Hahaaaa
 
Hahahaha dah...Paschal bwana...
 
Mzee Halima Mdee amepita bila kupingwa kwa kura 137 (Kama nakumbuka vizuri) hapo amepita bila kupingwa.

Alafu watia nia aka wapinzani wake waliochukua fomu ni 176 yajayo yanamvuto...
 
Mkuu mwaka huu hivi vikumbo ktk kuchukua fomu ni lile hakikisho alilotoa beans mkubwa kuufuta upinzani na si vinginevyo
 
Sawa Kawerian!
Nikifikiri ulizaliwa Nguliati kama mimi!!
 
P.
Nakusikitia mno kwa jinsi ulivyoipambania ccm hapa jf still poti hajakuona na kukupa japo udas! Au lile swali ulilomuuliza lilimuimiza Sana? Na au kitendo Cha spika kumuita alimpa majibu ya mahojiano yako?
Mkuu yule msipokuwa in sync, ni matatizo kukuleta karibu.
 
Siamini kama kuna the best bali mwenye bahati zaidi.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kujua mtu atashinda bila kura kupigwa na kuhesabiwa?
 
Kiukweli mdee labda ashinde kwa kutumia umaarufu wake wa kisiasa, ila hajawa msaada kabisa kabisa , naamin hata yy anatwgemea nafasi ya viti maalum zaid kuliko hata Hilo Jimbo la kawe
 
Kigezo cha kwanza kwa wachujaji kwa mujibu wa nchi inavyopelekwa na Mh Rais aliyeko madarakani hivi sasa ni;

1- watambue elimu ya mgombea

2- uaminifu wake.


3- uwajibikaji wake


4- Kawe anaifahamu matatizo yake?


5- Tanzania inahitaji nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…