Uchaguzi 2020 Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

Ndugu Paskal, unastahili na unaimudu sana hiyo kazi. Pia maoni yangu ni kuwa ukichaguliwa hutakuwa mbunge wa RUBBER STAMP, utasimamia haki na utawatumikia wana Kawe bila ubaguzi na utaweza kuishauri serekali vizuri.

Kwa KUDRA ZA ALLAH SUBHANA WA TAALA Utachaguliwa na utakapopewa shahada ya mgombea wa CCM, bila unafiki wa kichama, sisi wana JF tutaka tukuapize hapa jukwani na utuapie kuwa utautumikia ubunge wako 1st kwa wana kawa 2nd Watanzania wote, na hutakuwa mpambe wa kijinga kama kina Bajaj, msukuma na wengineo.

Pia ni tegemeo langu kuwa utakitumikia chama chako vizuri sana na kutoa ushauri mzuri bila uoga wowote, NGUMI YA MSUKUMA HALISI HAIRUDI NYUMA.
 
Alisema atazigeuza madrasa zote ziwe Sunday school! Tena aliongea hivyo madhabahuni!


Sasa ndugu yangu G Sam hapo pana ugomvi gani?

Je mfano Shekhe Issa Ponda naye siku akisema kuwa atageuza Sunday schools zote ziwe madrasa kutakuwa na ubaya gani?

Namtolea mfano sababu nampendaga jinsi anavyojielewa!

Hiyo ni mihemko ya watoa mawaidha/ mahubiri tu wala usichukulie kama ni ugomvi !

Unafahamu mtazamo katika kulichukulia jambo ndiyo unaoweza kukufanya uone kuwa ni ugomvi au si ugomvi.

Mbona kipindi cha Korona alikuwa anaombea watu wote wa Taifa hili hata wasio wakristo?!

Ndugu yangu tujifunze kupendana sisi wote ni watanzania,

Akifuatilia ikajengwa barabara tutapita wote wa dini zote na wapagani.
 


CCM wanashangilia utitiri wa watia nia ya kugombea ubunge kupitia chama lao la Joka la Kijani la Kishetani, lakini hii so dalili mzuri tunakoelekea tutakuwa kama Somalia kila mtu anataka kuongoza mwisho wake tutaanza kuzichapa kugombania madaraka ya kisiasa maana ndiyo kwenye maslahi. Watumishi hawajaongizewa mashahara kwa miaka Kitano,nani anataka umasikini na unyonge.
 
Apite mmoja wao kutoka ccm, huyo mdee hafai. Chadema udini na ukabila na ndio unatufanya tusiwachague
Usiwachague wewe na nani? Maazimio yako na mkeo kuwa tusimchague Mdee usifanye ni ya jamii.
Wenzako wamemchagua 2010 na 2015
 
Hahaha kumbe wewe ndiye Kawe Alumni unayesumbua humu?!

Ila kujibu swali lako, ccm huwa haina vikao kukata majina huwa una mtu wake mmoja tu wengine mtajijua.

Wakiisha mnyofoa mtu wao wengine hata hamtajulishwa mambo yanaendelea, wako hivyo.
 
Jamaa umeandika nn mbona sujakuelewa?
 
Hakika inasikitisha na kuudhi sana. kuna mtu amechukua fomu kawe hata kusoma na kuandika hajui. kuna watoto wametoka shule juzi hata kazi hawajapata kufanya popote nao wametia nia hivi twaenda wapi
 
Wote hawa wanataka kumuondoa Halima James Mdee.

Si Mpiga kura wa kawe lakini kwa ninavyoifahamu kawe kumtoa Mdee inahitaji akili ya upati
 
Gwajima huyuhuyu ambae mambo madogo yanamshinda hata kauli zake ni kinzani au yule mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…