Uchaguzi 2020 Kawe ya Halima Mdee, Halima Mdee na Kawe yake atosha

Uchaguzi 2020 Kawe ya Halima Mdee, Halima Mdee na Kawe yake atosha

Wana KAWE tusijidanganye tukaharibu jimbo letu.
Dini na siasa vitu 2 tofauti. Isitoshe huyu Gwajiboy anaeleweka. Tutaharibu kila kitu.
Vyema tukajielewa. Maendeleo yanaletwa na Serikali iliyoko madarakani na sio mbunge pekee.
Mbunge ni kuwawakilisha wananchi. Na Tunaona alivyoyafanya mbunge wetu.
Sasa tujitambue kuwa isishangaze ukaja Serikali mbadala na tukayaona maendeleo lukuki. VIVA Haki na maendeleo yetu.
Halima hajafanya lolote.
Anatoka kama alivyoingia.
 
Wana KAWE tusijidanganye tukaharibu jimbo letu.
Dini na siasa vitu 2 tofauti. Isitoshe huyu Gwajiboy anaeleweka. Tutaharibu kila kitu.
Vyema tukajielewa. Maendeleo yanaletwa na Serikali iliyoko madarakani na sio mbunge pekee.
Mbunge ni kuwawakilisha wananchi. Na Tunaona alivyoyafanya mbunge wetu.
Sasa tujitambue kuwa isishangaze ukaja Serikali mbadala na tukayaona maendeleo lukuki. VIVA Haki na maendeleo yetu.
Kawe kwa Gwajima, bi kidude out.
 
Halima siyo Mwanamke ni Binti/Kijana fresh, ambaye haelewi kesho anakumbuka leo 😎😎😎😎😎.Kawe ilikuwa imebebeshwa gunia la Misumali na laana
 
Anayepaswa kuonesha alichokifanya ni nani kati ya serikali na mbunge? Serikali inaongozwa na chama gani na Rais gani?

Kama Tanzania iko kwenye the so called "UCHUMI WA KATI", hivi hiyo Kawe iko Uganda au Burundi?

Si anaweza kukuonesha " uchumi wa kati", mandege ya Dreamliners na Bombardier, Stiglaz Goji na Reli ya SGR?

Au haya hayawahusu wana Kawe?

I thought kuwa una akili za kuelewa haya kuwa Tanzania inaongozwa na serikali inayoundwa na CCM. Ndiyo maana wilaya na manispaa lilipo jimbo la Kawe;

å Mkuu wa wilaya - DC ni wa CCM....!!
å Mkuu wa mkoa - RC ni wa CCM....!!
å Mkurugenzi wa manispaa mwenyewe mafungu yote ya pesa za maendeleo na miradi mbalimbali ni CCM..!!
å Watendaji wote wa Tarafa, kata na mitaa ni CCM....!!

SASA, kama hawa wameshindwa kuleta na kusimamia shughuli za maendeleo katika manispaa ya Kinondoni yote kwa usawa pasipo upendeleo wa kimaeneo, Halima Mdee (MB) anaingiaje kwenye lawama??

Je, huu si utakuwa ni uzembe na kushindwa kwa CCM yenyewe?

Tatizo ni moja tu mlilonalo nyie wana CCM. Nalo ni hili....

Mnadhani watu wote ni wajinga na hawaelewi kwa viwango vya ujinga na kutokuekewa kwenu...!!

kama ni hivi basi apite gwajima wa serikali ili awasilishe cha serikali,maana kwa mdee haitawezekana sababu si wa serikali.au nakosea???
 
Ati Gwajima awe mbunge jamani. Wawe wanaangalia na watu basi.
Kuna watu wanawadharau sana Watanzania. Yaani mtu tapeli kwa mgongo wa dini, halafu anapitishwa agombee ubunge.

Gwajima is good for the fools but completely a misfit for all good brains.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima achaguliwe na waumini wake tu Ila Madhehebu mengine wakimchagua watakuwa wanajipendekeza kwa mtu asiyewapenda
 
Kama Lowassa ambaye hakuwa vizuri kiafya ila akataka kuwa raisambapo ndio nafasi kubwa ya uongozi nchini(mie niliona utani kabisa)na bado watanzania wakampigia kura,sasa ndio itakuwa huyo Gwajima kutaka ubunge?
 
Gwajima achaguliwe na waumini wake tu Ila Madhehebu mengine wakimchagua watakuwa wanajipendekeza kwa mtu asiyewapenda
Hata huyo Halima watu wanataka kumchagua kwa kuangalia chama chake tu na si kwamba yeye binafsi ana sifa za kumfanya kwamba hata akihama chama bado hao watu watataka kumchagua tena.
 
Siwezi kumchagua huyu mama sjui wanamuita bibi i don't know,miaka 10 is enough,we want another person.
Kwaanza ana hulka yakijinga yakutuona sisi wapiga kura kuwa ni watu wa kitaa,no!
Awamu hii Itabidi umfate mnyika aliko mkapige zogo hko mtakutana na wakata umeme wawavunje mikono kama hamtaacha fyokofyoko
 
Hata hujui kwa nini kuna sehemu zinaitwa Tangi Bovu, Aly Sykes au Goig, Miti Mirefu kwa Lukuvi, Barabara ya Makonde NSSF!
Siujui kama ulisha muona mzee Maranda wa Makonde na barabara zake!
Barabara zote nilizozitaja isipokuwa ya Aly Sykes ni mitaro ya maji ya mvua miaka nenda rudi-juhudi hafifu za Halima.

Nyie pusi wa juzi mnajifanya wajuaji kuliko.

Barabara ya Salasala imejengwa kwa juhudi za Makonda, Halima alikuwa kalala selo, hana maana kabisa.

Halima must go.
 
Wanakawe wote kwa umoja wetu bila kujadi itikadi zetu tujitokeze kwa wingi wetu tarehe 28.10.2020 tuendelee na sauti adimu ya Zege. Tunahitaji mtu wa kwenda kutusemea na siyo mtu wa kwenda kupiga meza.

Anayeitwa askofu hata kura za maoni alishika nafasi ya 3, maana yake hakubaliki hata ndani ya CCM.

Zipo sababu zaidi ya 200 za kumchagua Halima Mdee lakini hapa naweka baadhi yake 10 tu.

1. Ni mwanamke shupavu
Kwanza Halima ni mwanamke asiyeogopa,jasiri asiyeangalia uso wa mtu. Mfano wa kuigwa na jamii yote. Haisemei KAWE tu huyu ni mbunge wa taifa.

2. Halima Mdee ni msomi na mchapa kazi
Elimu ya Mdee ni ya sheria na siyo ya mambo ya kawaida kama ya yule jamaa. Anao uwezo mkubwa wa sheria na amekua mchango mkubwa katika miswaada mbali mbali ya kisheria inayoenda bungeni.

3. Ana maono
Halima Mdee amekua mbunge mwenye maoni katika kuibadili KAWE, amepita katika wakati mgumu sana wa kusimamishwa bunge kwa sababu ya misimamo yake isiyoyumba.

4. Halima Mdee siyo mbaguzi
Halima Mdee siyo mbaguzi wa Kabila,Rangi, dini wala kanda anakotoka mtu, huyu ni mwakilishi wa wananchi wote na amekua akiishi hivyo.

5. Msemakweli
Halima Mdee kwake nyeusi ni nyeusi tu haiwezi kubadilika ikawa nyeupe.Atakuambia ukweli bila kupepesa macho

6. Mzoefu katika siasa za Tanzania
Halima Mdee ni mzoefu sana katika siasa za Tanzania, ameingia bungeni tangu mdogo sana. Haendi kujaribu ubunge,huyu ni mwakilishi tayari.

7. Amekua msemaji wa wananchi
Wa wanakawe na taifa kwa ujumla. Halima Mdee amekua msemaji wa shida za wananchi na siyo mtu wa kupiga meza tu.

8. Mtetezi wa Mtoto wa Kike
Halima Mdee kama utakumbuka vizuri akiwa na kadhi kadhi ya kutiwa ndani na kupelekwa mahakamani akitetea haki ya mtoto wa kike kurudi shule akipata ujauzito. Hili suala lilichukuliwa simple sana hasa na watu wa CCM lakini wengi walikua wakimfuata Halima Mdee nyuma ya pazia awatetee.

9. Anajiamini sana
Halima Mdee ni aina ya wanasiasa vijana wasiotumia. Anafanya kazi kwa kufuata anayoyaamini, hana usanii kama wengine.

10. Mwadilifu
Halima Mdee ni nembo ya wanawake waadilifu wasiokua na shaka. Hana kashfa za rushwa wala wala kutumia vibaya rasilimali za jimbo zikiwemo pesa za mfuko wa jimbo.

Kwa ujumla kumwelezea huyu dada hadi kumaliza utaweza kujaza kitabu kizima kumuandika. Huyu ndiye mwakilishi sahihi wa wananchi wa jimbo la KAWE.
Hao wote wanaompiga zengwe ni wale,wakisikia maneno machache tu Uhuru,haki na maendeleo,wote mbio achilia ukweli kuwa ni mtu wa kazi na sii mwimba mapambio ya kusifu,nje na ndani ya mjengo.
 
Hata hivyo kujaza wabunge wengi wa CCM bungeni Ni hatari Sana.
Wao siku zote Ni kusema Ndiooooooooooo halafu baada ya happy wananchi wanaishi maisha ya shida.
Maamuzi mengi ya kijinga bungeni yanapitishwa na wabunge wa CCM.
Uchache wa wabunge wa Upinzani bungeni na hasara kwa Taifa.
Mchagueni Halima Mdee badala kuongeza wabunge wengi wa ccm
 
Anayepaswa kuonesha alichokifanya ni nani kati ya serikali na mbunge? Serikali inaongozwa na chama gani na Rais gani?

Kama Tanzania iko kwenye the so called "UCHUMI WA KATI", hivi hiyo Kawe iko Uganda au Burundi?

Si anaweza kukuonesha " uchumi wa kati", mandege ya Dreamliners na Bombardier, Stiglaz Goji na Reli ya SGR?

Au haya hayawahusu wana Kawe?

I thought kuwa una akili za kuelewa haya kuwa Tanzania inaongozwa na serikali inayoundwa na CCM. Ndiyo maana wilaya na manispaa lilipo jimbo la Kawe;

å Mkuu wa wilaya - DC ni wa CCM....!!
å Mkuu wa mkoa - RC ni wa CCM....!!
å Mkurugenzi wa manispaa mwenyewe mafungu yote ya pesa za maendeleo na miradi mbalimbali ni CCM..!!
å Watendaji wote wa Tarafa, kata na mitaa ni CCM....!!

SASA, kama hawa wameshindwa kuleta na kusimamia shughuli za maendeleo katika manispaa ya Kinondoni yote kwa usawa pasipo upendeleo wa kimaeneo, Halima Mdee (MB) anaingiaje kwenye lawama??

Je, huu si utakuwa ni uzembe na kushindwa kwa CCM yenyewe?

Tatizo ni moja tu mlilonalo nyie wana CCM. Nalo ni hili....

Mnadhani watu wote ni wajinga na hawaelewi kwa viwango vya ujinga na kutokuekewa kwenu...!!
Nani anapaswa kupaza sauti ikasikika kuwa wana kawe hawapewi kipaumbele?Tusidanganyane bhana halima kwa kawe kaishindwa .Hivi ushawahi kufika MBOPO ww?watu kule wanaishi ka kijijini bhana,hakuna miundombinu kabisa barabara madaraja kule ni shida aiseeh,Ye anapuyanga tuh
 
Back
Top Bottom