Uchaguzi 2020 Kawe ya Halima Mdee, Halima Mdee na Kawe yake atosha

Halima hajafanya lolote.
Anatoka kama alivyoingia.
 
Kawe kwa Gwajima, bi kidude out.
 
Halima siyo Mwanamke ni Binti/Kijana fresh, ambaye haelewi kesho anakumbuka leo 😎😎😎😎😎.Kawe ilikuwa imebebeshwa gunia la Misumali na laana
 

kama ni hivi basi apite gwajima wa serikali ili awasilishe cha serikali,maana kwa mdee haitawezekana sababu si wa serikali.au nakosea???
 
Ati Gwajima awe mbunge jamani. Wawe wanaangalia na watu basi.
Kuna watu wanawadharau sana Watanzania. Yaani mtu tapeli kwa mgongo wa dini, halafu anapitishwa agombee ubunge.

Gwajima is good for the fools but completely a misfit for all good brains.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima achaguliwe na waumini wake tu Ila Madhehebu mengine wakimchagua watakuwa wanajipendekeza kwa mtu asiyewapenda
 
Kuna watu wanawadharau sana Watanzania. Yaani mtu tapeli kwa mgongo wa dini, halafu anapitishwa agombee ubunge.

Gwajima is good for the fools but completely a misfit for all good brains.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Lowassa ambaye hakuwa vizuri kiafya ila akataka kuwa raisambapo ndio nafasi kubwa ya uongozi nchini(mie niliona utani kabisa)na bado watanzania wakampigia kura,sasa ndio itakuwa huyo Gwajima kutaka ubunge?
 
Gwajima achaguliwe na waumini wake tu Ila Madhehebu mengine wakimchagua watakuwa wanajipendekeza kwa mtu asiyewapenda
Hata huyo Halima watu wanataka kumchagua kwa kuangalia chama chake tu na si kwamba yeye binafsi ana sifa za kumfanya kwamba hata akihama chama bado hao watu watataka kumchagua tena.
 
 
 
Hao wote wanaompiga zengwe ni wale,wakisikia maneno machache tu Uhuru,haki na maendeleo,wote mbio achilia ukweli kuwa ni mtu wa kazi na sii mwimba mapambio ya kusifu,nje na ndani ya mjengo.
 
Hata hivyo kujaza wabunge wengi wa CCM bungeni Ni hatari Sana.
Wao siku zote Ni kusema Ndiooooooooooo halafu baada ya happy wananchi wanaishi maisha ya shida.
Maamuzi mengi ya kijinga bungeni yanapitishwa na wabunge wa CCM.
Uchache wa wabunge wa Upinzani bungeni na hasara kwa Taifa.
Mchagueni Halima Mdee badala kuongeza wabunge wengi wa ccm
 
Nani anapaswa kupaza sauti ikasikika kuwa wana kawe hawapewi kipaumbele?Tusidanganyane bhana halima kwa kawe kaishindwa .Hivi ushawahi kufika MBOPO ww?watu kule wanaishi ka kijijini bhana,hakuna miundombinu kabisa barabara madaraja kule ni shida aiseeh,Ye anapuyanga tuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…