Uchaguzi 2020 Kawe ya Halima Mdee, Halima Mdee na Kawe yake atosha

Halima tunamuhitaji sana Bungeni kwa Maslahi mapana ya Taifa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unaelewa hata ukisemacho ama kukiandika kweli wewe?

Nataka nikujengee uelewa kidogo ili mradi ujaribu kwa kila hali kutokuwa "conservative"..

Jibu maswali yafuatayo ya ufahamu;

1. Unaweza kwa manufaa ya wana JF wote ukataja majukumu matatu (3) makuu ya mbunge kwa mujibu wa katiba ya JMT ya mwaka 1977 na marekebisho yake yote?..

2. Unajua kuwa kwenye kila halmashauri ya jijiji/manispaa/mji/wilaya, wako viongozi hawa?

å CCD - City Council Director

å MCD - Municipal Council Director

å TCD - Town Council Director na

å DED - District Executive Director

¶ Unajua kuwa hawa ndiyo wenye fedha zote za maendeleo katika eneo lako unaloishi?

¶ Unajua kuwa hawa ndiyo wanaopaswa kukujengea daraja, shule, solo, stendi, barabara, zahanati, hospitali nk nk?

¶ Unajua kuwa hawa ndiyo custodian wa kodi yako unayolipa kila siku ili mwisho wa siku igeuke kuwa daraja, shule, zahanati, barabara nk nk?

¶ Unajua kuwa hawa ndiyo "serikali" na INA maana kushindwa kujengwa kwa daraja huko Mbopo ni kushindwa kwa serikali kutimiza wajibu wake?

¶ Unajua serikali ya Tanzania inaongozwa na CCM? Kwa hiyo unakubali kuwa serikali chini ya CCM imeshindwa kuwajengea watu wa Mbopo daraja na barabara? Unadhani nini kifanyike?

3. Hebu eleza unataka Halima Mdee afanyeje ili huko Mbopo wawe na madaraja akiwa kama mbunge wako? Je, atumie fedha ya watoto wake kula nyumbani awajengee daraja nyie wana Mbopo?

4. Ukiwa mwaminifu wa nafsi yako na kuyajibu maswali haya kwa ufasaha, ujinga utakutoka na utakuwa mtu mwenye ufahamu kuanzia leo...!!
 
Onhezea na hii mama
11. Ni mwamke aliyeoa mwanamke
 
Hatutaki mtu ambaye ataenda kuwasaga wanawake wenzake kama mashine ya lister peter.
 
Hovyo ni nyie na mliyemleta yule jamaa. Yaani mmeacha woote wale mnamleta yule jamaa asiyejifahamu kabisa ?
Yule jama ni mara mia moja anajiekewa na anaelewa wananchi wa Kawe wanataka nini.
Halima kila siku kortini na selo, hakuna mwana kAwe alimchagua kwa hilo!
 
Maskini Mdee jimbo kashapokonywa alijifanya Mbunge wa kitaifa akalisahau jimbo lake ona sasa yanamkuta.

Mnyika hakuwa mjinga alisoma alana za nyakati.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…