Kayumba "katoto" wa BSS, upepo uliopita

Kayumba "katoto" wa BSS, upepo uliopita

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Ni vigumu kuamini Kayumba mshindi wa Milioni 50 za bongo star search amepotea kama upepo...Hata kama alipewa milioni 30, hiyo hela ni kubwa sana kuanzisha miradi au kujiendeleza kimuziki maana kuna watu wanapewa milioni tano tu lakini matunda wanapata....

sasa naanza kuona hawa washindi wa bss hizi hela wanaposhinda wanafanya maamuzi ya haraka haraka ikiwa moja wapo kuwekeza katika vitu ambavyo haviwezi kuwazalishia mkwanja.

Tangu lini fundi wa magari akapewa mtaji akanunua vifaa vya seremala...na hiki nducho kinachowatikea hawa washindi wa bss, yani wakishinda wanavimba vichwa na kudhani wao tayari ni wanamuziki na kuona ni sahihi kuwekeza katika muziki, jambo ambalo ni kama fundi umeme kununu vufaa vya useremala,

Mshindi wa bss anashinda ikiwa anaweza kuiga nyimbi ambazo zilikwishatungwa na kuhit kwa wasanii so hapa inabidi wajijue wenyewe bi mabingwa wa kucopy hit songs na sio mabingwa wa kutengeneza hit songs,

Mtaji wa pesa za bongo star search na kipaji cha kuimba nyimbo zilizohit haviwezi vukakufanya uwe msanii nguli katika game la bongo fleva, wasanii leo hii tunaowajua kama kina diamond m anepitia changamoto nyingi sana tena sana mpaka akaja kufukia alipo, Kama ni sauti pekee ya kuimba hata alikiba anayo lakini pia nae alupitia changamoto nyingi sana zilizomjenga mpaka kawa alipo sasa.

Kwa kuhitimisha ni kwamba tu hawa wasanii wa bss waache kyvimba vichwa kwamba wakiwekeza kwenye bongo fleva basi watavuna pesa za kutosha,, kuwa msanii ni zaidi ya kuwa ba mpunga au kucopy hit songs zilizokwisha tungwa
 
wanakosa uwangalizi.. kukimbilia kuimba si kosa .. tatizo hawajui wanataka nini maishani
 
madam ritha kuna sehemu anafeli
Madam ritha na uongozi wa bss ukishirikiana na mkubwa fella, wameliona hili hivyo basi utakuwa unaendelea kukuza vipaji vya washindi wa bss baada ya shindano chini ya usimamizi wa said fella.
-Mbona kina kala jeremiah, peter msechu wanafanya vizuri. Juhudi binafsi zinahitajika baada ya kufunguliwa njia ya mziki kama baby madaha, walter chilambo, angie, nk
 
Dah ile bingo ungeenda kwa naseeb fonabo
Mr nosa nosa nosa
Full kipaji yule kijana precisely angetoboa
 
Kwanza pesa za zawadi huwa hawapewi zote kisha wanapewa masharti ya kutofanya kazi na watu fulani maybe kwa mwaka mzima, muulize Kala Jeremiah akueleze vizuri
basi ndo maana kumbee
 
me nnavyojua ile bss ya kina kayumba walipewa deal wasanii walioingia kwenye tano bora wote watakuwa chini ya tale na mkubwa fella, sasa sijui what happended manake hao wengine ndo sijui wamepotelea wapi sijasikia chochote toka kwao bora huyo kayumba alitoa single mbili ambazo hata hivyo hazikuwa nzuri tofauti na mategemeo ya wengi ndo mana hata hazisikiki huko redioni kwenyewe nahisi zilipigwa siku ya kuzitambulisha tu then hazijarudiwa, na silewi kwanini hao kina fella hawakuzipromot manake mkwanja wake walichukua kwa kisingizio cha kummenej, pamoja na kwamba hazikuwa nzuri lakini atleast wangezilamisha tu kwa mapromotion ya nguvu na tour
 
madam Rita ndo tatzo zaidi she did learn kuanzia kina jumanne iddi mpk hawa kina kayumba wote wanapotea on the same style
 
BSS inakosa usimamizi watoa maamuzi huwa wanaendeshwa na nihemko ndy maana huwa wanashindwa kupata msanii bora, na kila kitu bila juhudi binafsi hakiwezekani hata hawa wasanii wanaopendwa leo juhudi binafsi ndy mtaji wao. Kayumba akomae muziki si lelemama
 
Hela zake wakina Gaidi Sella na Babu Talent walimjengea nyumba sijui Kama ilifanikiwa kuisha ile maana toka Bss iishe sidhani kama amefanya show japo 3.
 
Ngoja ni mwite gigy money ajekujibia hili
 
Back
Top Bottom