Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Ni vigumu kuamini Kayumba mshindi wa Milioni 50 za bongo star search amepotea kama upepo...Hata kama alipewa milioni 30, hiyo hela ni kubwa sana kuanzisha miradi au kujiendeleza kimuziki maana kuna watu wanapewa milioni tano tu lakini matunda wanapata....
sasa naanza kuona hawa washindi wa bss hizi hela wanaposhinda wanafanya maamuzi ya haraka haraka ikiwa moja wapo kuwekeza katika vitu ambavyo haviwezi kuwazalishia mkwanja.
Tangu lini fundi wa magari akapewa mtaji akanunua vifaa vya seremala...na hiki nducho kinachowatikea hawa washindi wa bss, yani wakishinda wanavimba vichwa na kudhani wao tayari ni wanamuziki na kuona ni sahihi kuwekeza katika muziki, jambo ambalo ni kama fundi umeme kununu vufaa vya useremala,
Mshindi wa bss anashinda ikiwa anaweza kuiga nyimbi ambazo zilikwishatungwa na kuhit kwa wasanii so hapa inabidi wajijue wenyewe bi mabingwa wa kucopy hit songs na sio mabingwa wa kutengeneza hit songs,
Mtaji wa pesa za bongo star search na kipaji cha kuimba nyimbo zilizohit haviwezi vukakufanya uwe msanii nguli katika game la bongo fleva, wasanii leo hii tunaowajua kama kina diamond m anepitia changamoto nyingi sana tena sana mpaka akaja kufukia alipo, Kama ni sauti pekee ya kuimba hata alikiba anayo lakini pia nae alupitia changamoto nyingi sana zilizomjenga mpaka kawa alipo sasa.
Kwa kuhitimisha ni kwamba tu hawa wasanii wa bss waache kyvimba vichwa kwamba wakiwekeza kwenye bongo fleva basi watavuna pesa za kutosha,, kuwa msanii ni zaidi ya kuwa ba mpunga au kucopy hit songs zilizokwisha tungwa