Kazaliwa @_Dinazarde

Kazaliwa @_Dinazarde

Billie asante sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaniudhi hujfanya mbadala wa jukwaa letu lile pendwa
Sasa mimi sio Moderator mi nahisi TCRA wamechimba beat Mexene melo kuwa jukwaa haliendani na maadili ya Mtz si unajua TCRA inajua hii inchi ni ya mabikra
 
Sasa mimi sio Moderator mi nahisi TCRA wamechimba beat Mexene melo kuwa jukwaa haliendani na maadili ya Mtz si unajua TCRA inajua hii inchi ni ya mabikra

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari zenu wana JF.

Napenda kuchukua wasaa huu Kumshukuru Mungu kwa ajili ya rafiki yangu, ,mshauri wangu na ndugu yangu, Dinazarde,kwani siku ya leo miaka kadhaa nyuma alizaliwa!

Mungu amjaalie kila lililo jema katika maisha yake,ampe afya bora na utajiri kila eneo.Nasisitiza utajiri kwa sababu ukiwa maskini hapa chini ya jua utadharaulika mno alafu utakuwa na Roho mbaya na ya kwanini automatically tu yani.

Endelea kuwa mkarimu hivyo hivyo usibadilike yani.Ucheshi wako na bashasha ndio unakufanya uzidi kuwa Pisi kali, kaa mbali na negative energy usizipe nafasi kabisa.Zaidi ya yote ishi maisha yako ukiwa na Imani kuwa umeumbwa kula raha hapa duniani.Yani usiridhike na maisha ya tabu tabu, ukayaona ni kawaida,Noo sio kawaida kabisa,Piga kazi mpaka kwenda kupumzika eneo unalotaka wewe iwe kawaida!

Make a wish today and it shall become the truth today...nasema uongo ndugu zangu?

Nileteeni Dinaaa!
Nileteeni Dinaaa!
Nileteeni Dinaa...nasema nileteeni Dinaaa!
Hongera kwake
 
Back
Top Bottom