Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Mwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa mwaka 1990 ๐๐๐.