nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Mh bado"mama yake alifariki 1986"kuna aina za mama,kuna mama mzazi,mama mlezi,mama wa kambo n,k
Sasa huyo mamako mlezi au wa kambo ndio awe kafa miaka minne kabla ya kuzaliwa huo umama kaupataje[emoji3]
Labda useme ma mkubwa na mdogo hao kweli wanabakia kuwa mama ila huenda wakawa hawapo kipindi unazaliwa