marimisu
Member
- Sep 26, 2020
- 52
- 63
Mmmh jmn mbona hatari hii[emoji23][emoji23]Boko 29! [emoji849] Kagere 28! [emoji849] Nyoni 30! [emoji849] Wawa 27! [emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh jmn mbona hatari hii[emoji23][emoji23]Boko 29! [emoji849] Kagere 28! [emoji849] Nyoni 30! [emoji849] Wawa 27! [emoji16][emoji16][emoji16]
Nakataa Nyoni kuwa na 30. Nyoni ana zaidi ya 38. Kipindi Nyoni anavuma, mimi nilikuwa shule ya msingi.Boko 29! [emoji849] Kagere 28! [emoji849] Nyoni 30! [emoji849] Wawa 27! [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu hadi di natale alimkataa umri huo 😀😀😀😀😀inanikumbusha mchezaji wa lazio aliyeitwa Joseph Minala mzaliwa wa Younde cameroon, aliyesema amezaliwa 1996 hiyo picha hapa ni akiwa na miaka (20) lakini sura yake ilikataa kutoa ushirikiano, kelele zikawa nyingi mtandaoni hatimaye akafunga account zake za mitandao ya kijamii inasemakana kwa kipindi hicho umri wake halisi ilikuwa miaka 41
View attachment 1878288
Kesi kwisha😂😂Simple,ata declare alikua sio mama yake biological,ni mama of which kimila kikwao wanamuita mama and some sort of blah blah
[emoji23][emoji23][emoji23]inanikumbusha mchezaji wa lazio aliyeitwa Joseph Minala mzaliwa wa Younde cameroon, aliyesema amezaliwa 1996 hiyo picha hapa ni akiwa na miaka (20) lakini sura yake ilikataa kutoa ushirikiano, kelele zikawa nyingi mtandaoni hatimaye akafunga account zake za mitandao ya kijamii inasemakana kwa kipindi hicho umri wake halisi ilikuwa miaka 41
View attachment 1878288
Bugati 33Boko 29! 🙄 Kagere 28! 🙄 Nyoni 30! 🙄 Wawa 27! 😁😁😁
Mwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa mwaka 1990 😀😀😀.
This is Africa
Ha ha ha 41?inanikumbusha mchezaji wa lazio aliyeitwa Joseph Minala mzaliwa wa Younde cameroon, aliyesema amezaliwa 1996 hiyo picha hapa ni akiwa na miaka (20) lakini sura yake ilikataa kutoa ushirikiano, kelele zikawa nyingi mtandaoni hatimaye akafunga account zake za mitandao ya kijamii inasemakana kwa kipindi hicho umri wake halisi ilikuwa miaka 41
View attachment 1878288
This is AfricaMwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa mwaka 1990 [emoji3][emoji3][emoji3].
labda mama yai aliacha yai likatotolewa miaka minne baadaye 😃Mwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa mwaka 1990 😀😀😀.
Na mama mkwe"mama yake alifariki 1986"kuna aina za mama,kuna mama mzazi,mama mlezi,mama wa kambo n,k