Kazaliwa mwaka 1990 lakini Mama alifariki 1986 😂

Kazaliwa mwaka 1990 lakini Mama alifariki 1986 😂

inanikumbusha mchezaji wa lazio aliyeitwa Joseph Minala mzaliwa wa Younde cameroon, aliyesema amezaliwa 1996 hiyo picha hapa ni akiwa na miaka (20) lakini sura yake ilikataa kutoa ushirikiano, kelele zikawa nyingi mtandaoni hatimaye akafunga account zake za mitandao ya kijamii inasemakana kwa kipindi hicho umri wake halisi ilikuwa miaka 41
View attachment 1878288
Huyu hadi di natale alimkataa umri huo 😀😀😀😀😀

Hebu pata picha ngozi nyeupe mpaka umefikia hatua ya kumkataa waziwazi.,....
 
Ukitaka kudanganya, jaribu kudanganya uongo mpyampya ambao haujajulikana sana, hata mtu akijua umedanganya aone umemdanganya kwa kuheshimu akili zako kidogo, aweze kukusamehe bila kukuumbua.

Siyo unadanganya uongo wa kizembe watu washaudanganya miaka nenda miaka rudi.

Hapo unaonekana si muongo tu, hapo unaonekana muongo mvivu.

Yani hata kwenye kudanganya hujajipa kazi ya kutunga uongo mpya!
 
inanikumbusha mchezaji wa lazio aliyeitwa Joseph Minala mzaliwa wa Younde cameroon, aliyesema amezaliwa 1996 hiyo picha hapa ni akiwa na miaka (20) lakini sura yake ilikataa kutoa ushirikiano, kelele zikawa nyingi mtandaoni hatimaye akafunga account zake za mitandao ya kijamii inasemakana kwa kipindi hicho umri wake halisi ilikuwa miaka 41
View attachment 1878288
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo inaitwa flashback Kwenye movie...usanii raha sana yani mtu anaweza akafa kisha akaoa mwisho anazaliwa
 
Wakati anadanganya, alisahau kui-set brainometer ya brain yake to a positive value. Aliisahau pale pale kwenye zero reading value ambapo huwa anai-operate siku zote
 
Mwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa mwaka 1990 😀😀😀.
Guelor-Kanga-2.jpg

Ati ana miaka 21 sasa hivi.
 
inanikumbusha mchezaji wa lazio aliyeitwa Joseph Minala mzaliwa wa Younde cameroon, aliyesema amezaliwa 1996 hiyo picha hapa ni akiwa na miaka (20) lakini sura yake ilikataa kutoa ushirikiano, kelele zikawa nyingi mtandaoni hatimaye akafunga account zake za mitandao ya kijamii inasemakana kwa kipindi hicho umri wake halisi ilikuwa miaka 41
View attachment 1878288
Ha ha ha 41?
 
Kwanini sisi watu weusi tunaongoza kudanganya kuliko jamii nyingine, kwenye siasa hivohivo, michezo na burudani, uchumi na maendeleo na hata kwenye imani za dini?
 
Mwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa mwaka 1990 [emoji3][emoji3][emoji3].
This is Africa
 
kaseja nimeanza kumsikia akijishughulisha na mpira tangia nikiwa na miaka 10+ sasa nina 30+ naskia nae bado yupo 20's
 
Mwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa mwaka 1990 😀😀😀.
labda mama yai aliacha yai likatotolewa miaka minne baadaye 😃
 
Joseph Minala hapo akiwa na miaka 17. Picha moja hapo yupo na legend Wa Lazio anaitwa Antonio Di Natale!
Screenshot_20210807-104535.jpg
Screenshot_20210807-105017.jpg
 
Back
Top Bottom