Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Onyango akiisikia hii anatetemekaYale yale ya Onyango na miaka 27
Mwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa mwaka 1990 πππ.
Duh huyu kiboko!,miaka 20 gani kakomaa anavigimbi mpaka kwenye mashavu.inanikumbusha mchezaji wa lazio aliyeitwa Joseph Minala mzaliwa wa Younde cameroon, aliyesema amezaliwa 1996 hiyo picha hapa ni akiwa na miaka (20) lakini sura yake ilikataa kutoa ushirikiano, kelele zikawa nyingi mtandaoni hatimaye akafunga account zake za mitandao ya kijamii inasemakana kwa kipindi hicho umri wake halisi ilikuwa miaka 41
View attachment 1878288
This is AfricaMwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa mwaka 1990 πππ.
kuna mchezaji likuwa anacheza ynga under 20 ukimwangalia usoni ana miaka 42 sijui TFF wanatumia vigezo gani ndio maana waliogopa hata kumchagua under 23 iliyoenda EthiopiaDuh huyu kiboko!,miaka 20 gani kakomaa anavigimbi mpaka kwenye mashavu.
Bila kumsahau SaidoOnyango akiisikia hii anatetemeka
Okwi
Boko 29! π Kagere 28! π Nyoni 30! π Wawa 27! πππYale yale ya Onyango na miaka 27
Afrika ni shida sana[emoji23][emoji23]Boko 29! [emoji849] Kagere 28! [emoji849] Nyoni 30! [emoji849] Wawa 27! [emoji16][emoji16][emoji16]
MsukuleMwezi Mei mwaka huu mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon, Ganga Kiaku alitakiwa kukutana na kamati ya nidhamu ya CAF kutoa maelezo ya kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye akazaliwa mwaka 1990 [emoji3][emoji3][emoji3].