Kazaliwa mwaka 1990 lakini Mama alifariki 1986 πŸ˜‚

"mama yake alifariki 1986"kuna aina za mama,kuna mama mzazi,mama mlezi,mama wa kambo n,k
Mh bado
Sasa huyo mamako mlezi au wa kambo ndio awe kafa miaka minne kabla ya kuzaliwa huo umama kaupataje[emoji3]
Labda useme ma mkubwa na mdogo hao kweli wanabakia kuwa mama ila huenda wakawa hawapo kipindi unazaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…