Kaze arudi Yanga haraka iwezekanavyo!

Bado mtihani upo pale pale, kama Nabi anajua lugha ya kiarabu pekee je Kaze anajua lugha ya kiarabu? Kama hajui kiarabu ina maana bado kutakuwa na ugumu wa mawasiliano kati ya kocha mkuu na kocha msaidizi.
 
Nabi anajua kifaransa pia mkuu
 
kaze anakuwa kocha mkuu kesho baada ya mechi ya simba kipigo kitamtoa mwarabu ambaye tayari ana mtafsiri toka congo ambaye itabidi tu atimuliwe sababu kaze kifaransa anajua
 
Bado Yanga inaendeshwa kisanii mno. Viongozi hawana maono wala hawajui wanahitaji nini na nini wakifanye. Kazi yao kukurupuka na kuendesha timu kwa mihemuko. Huyu Kaze walimtimua na kumuona hafai leo hii anaonekana wa muhimu tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…