zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Haikuhusu,acha umbeyaHata aje Tuchel utopolo itabaki kuwa utopolo
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikuhusu,acha umbeyaHata aje Tuchel utopolo itabaki kuwa utopolo
Bado mtihani upo pale pale, kama Nabi anajua lugha ya kiarabu pekee je Kaze anajua lugha ya kiarabu? Kama hajui kiarabu ina maana bado kutakuwa na ugumu wa mawasiliano kati ya kocha mkuu na kocha msaidizi.Kuna tetesi nimesikia huyu mtaalam viongozi wa Yanga wanataka kumrudisha kama kocha msaidizi.
Naunga mkono hili sababu moja kuu Kaze anajua lugha nyingi kifaransa, kiingereza, kiswahili, Kirundi, kijeruman nk. Hii itawasaidia hata wachezaji wetu wa kibongo kwenye mawasiliano na kuimarisha viwango vyao.
Nabi anajua kifaransa pia mkuuBado mtihani upo pale pale, kama Nabi anajua lugha ya kiarabu pekee je Kaze anajua lugha ya kiarabu? Kama hajui kiarabu ina maana bado kutakuwa na ugumu wa mawasiliano kati ya kocha mkuu na kocha msaidizi.
Bado Yanga inaendeshwa kisanii mno. Viongozi hawana maono wala hawajui wanahitaji nini na nini wakifanye. Kazi yao kukurupuka na kuendesha timu kwa mihemuko. Huyu Kaze walimtimua na kumuona hafai leo hii anaonekana wa muhimu tena?kaze anakuwa kocha mkuu kesho baada ya mechi ya simba kipigo kitamtoa mwarabu ambaye tayari ana mtafsiri toka congo ambaye itabidi tu atimuliwe sababu kaze kifaransa anajua