Pre GE2025 Kazi anazofanya Rais Samia kwa wananchi, hazimpi uhakika wa kurudi Ikulu? Nauliza, pikipiki zina lengo gani kwa wapiga kura?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wana lumumba mpogo?

Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?

Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa jina la Samia 2025, wazalendo watumie jina gani kuziita

Ni zawadi au nini?

Ni rushwa kwa wapiga kura au takirima na au nini hasa?

Kwa nini isitoshe kuziamini kazi zake mnazozisifia kwamba zimewagusa wananchi na zitoshe kumpa kura tena?

Kwani mnamashaka tena na kazi zake mnazotuorodheshea kila leo hapa jf, kwamba mama kawazidi marais wote kwa kazi zilizotukuka na kwamba anaupiga mwingi?
NI upuuzi mtupu hayo mapikipiki nikupumbaza machawa wake waendelee kumsifia hamna lolote! Ukifuatilia hizo hela zinaweza kuwa zimetokana na wale wafanyabiashara wa sukari waliotumia makampuni ya kihuni kuagiza sukari nje
 
..Mama Abduli anahonga ili aendelee kukalia Ikulu ya Watanganyika.

..mwaka 2025 utakuwa uchaguzi wenye RUSHWA kuliko chaguzi zote.

..Ccm itatumia FEDHA nyingi kuliko chaguzi zote.
Dalili zote ziko wazi kabisa!.
 
Hizi ndio kumlaani babu mzaa babu yako sababu alikuwa na chogo alilokuachia wewe unalaumu kasababisha wajukuu zako kupata chogo wakate wewe ulikuwa na opportunity ya kudilute genes hizo mbovu kwa kutafuta mlimbwende asiye na chogo kuliko huyu uliyenae sasa mwenye chogo....

Vilevile unasahau enzi zile chogo labda ilikuwa ndio fashion...
Mfano wako umenigusa sana.. Ukoo wetu sisi ni watu wenye kimo Cha wastani na wafupi.. Nikasema huu ufupi uishie kwangu.. Nikatafuta make mrefu mrembo.. Bahati nzuri sana watoto wangu wote wametoka ni warefu wa kutosha kunizidi hata Mimi baba yao.. Sikulaumu nilitenda..

Sasa naqashangaa sana watu wanaolaumu historia.. Kufikia mpaka kuwatukana watangulizi.. Huko ni kushindwa.. Wewe umefanya nini Kwa nafasi yako kuleta mabadiliko..??
 
Tukiamua! Historia hubadirishwa tu

Na ndiyo maana huwa nasema, ni akili za kijinga tu kusema eti tukikiondoa chama cha CCM hakutakuwa na Anani

Ni akili za mtu mjinga kabisa kuendelea kuamini ujinga huo
 
Wana lumumba mpogo?

Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?

Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa jina la Samia 2025, wazalendo watumie jina gani kuziita

Ni zawadi au nini?

Ni rushwa kwa wapiga kura au takirima na au nini hasa?

Kwa nini isitoshe kuziamini kazi zake mnazozisifia kwamba zimewagusa wananchi na zitoshe kumpa kura tena?

Kwani mnamashaka tena na kazi zake mnazotuorodheshea kila leo hapa jf, kwamba mama kawazidi marais wote kwa kazi zilizotukuka na kwamba anaupiga mwingi?
Afrika watu hawaangalii kazi Bali nope nikupe.Ingekuwa ni kazi Jiwe asingekuwa andhalilika Kwa kupiga magoti na pu shapu 🤣🤣
 
Mmh!

😂😂 unataka kusema hizo pikipiki za mama ni rushwa ya kura?
 
Wana lumumba mpogo?

Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?

Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa jina la Samia 2025, wazalendo watumie jina gani kuziita

Ni zawadi au nini?

Ni rushwa kwa wapiga kura au takirima na au nini hasa?

Kwa nini isitoshe kuziamini kazi zake mnazozisifia kwamba zimewagusa wananchi na zitoshe kumpa kura tena?

Kwani mnamashaka tena na kazi zake mnazotuorodheshea kila leo hapa jf, kwamba mama kawazidi marais wote kwa kazi zilizotukuka na kwamba anaupiga mwingi?
Bado, mtalalama sana safari hii.

Magari hujayaona?
 
Hata hivyo hakuhonga pikipiki mkuu
Alidhalilika na huo ujinga ndio Samia hawezi fanya 😁😁

Mwisho bila hongo hutoboi,uliza ambavyo wanavujiji walihawiwa mbolea za Bure mifuko 3 Kila mmja 🤣🤣
 
bi chura:
1. kajibandika kwenye mabango barabara zote za mijini na vijijini
2. kaingiza mapikipiki kayachora uso wake
3. makoti eti anayaita sare za bodaboda yana picha yake
4. kajitungia album nzima ya bongo flava kupitia yule msanii mmakonde

ni shida!
 
Sawa wewe ulitaka abandikwe bibi Yako?
 
Africa tunasafari ndefu sana
Safari ndefu ya kwenda wapi? Aliyekwambia Africa watu wanaangalia vitu vya msingi au performance ni nani?

Ingekuwa hivyo Samia si angetakiwa kuzoa asilimia 💯 ya kura Kwa sababu amefaulu Kwa Kila kitu.
 
Alidhalilika na huo ujinga ndio Samia hawezi fanya 😁😁

Mwisho bila hongo hutoboi,uliza ambavyo wanavujiji walihawiwa mbolea za Bure mifuko 3 Kila mmja 🤣🤣
Ila we jamaa bhana! 🤣

Unathibitisha kwamba pikipiki za Samia ni kuwahonga wapiga kura?

Kwa mantiki hii! Je anafaa nini kiongozi anayeitaka ikulu kwa rushwa?

Atawafanyia kazi watu kwa haki na kwa upendo kweli zaidi ya yeye kwenda ikulu kuiba ili arudishe chake?
 
Back
Top Bottom