Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alidhalilika na huo ujinga ndio Samia hawezi fanya 😁😁
Mwisho bila hongo hutoboi,uliza ambavyo wanavujiji walihawiwa mbolea za Bure mifuko 3 Kila mmja 🤣🤣
Katika nzuri ni yakenya sio???Lakini ndiyo katuachia katiba mbovu hii
kwani bi chura ni bibi yako?Sawa wewe ulitaka abandikwe bibi Yako?
Tafiti zinazofanyika kuhusu kukubalika Kwa mama zinaogofya!!Wana lumumba mpogo?
Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?
Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa jina la Samia 2025, wazalendo watumie jina gani kuziita
Ni zawadi au nini?
Ni rushwa kwa wapiga kura au takirima na au nini hasa?
Kwa nini isitoshe kuziamini kazi zake mnazozisifia kwamba zimewagusa wananchi na zitoshe kumpa kura tena?
Kwani mnamashaka tena na kazi zake mnazotuorodheshea kila leo hapa jf, kwamba mama kawazidi marais wote kwa kazi zilizotukuka na kwamba anaupiga mwingi?
Ndiokwani bi chura ni bibi yako?
wewe na bibi yako wote hamna akiliNdio
Oyaa na sisi tumerithi vichwa, kwanini tusibadili wenyewe!!Alipokuwa madarakani kwanini hakubadilisha?
Wewe una akili? Ziko wapi?wewe na bibi yako wote hamna akili
pikipiki ni sehemu kidogo mno ya mkakakati wa CCM katikati kuuarifu umma juu ya mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, kijamii, kiuchmi na kisiasa kwa kipindi kifupi tu kilichopita 🐒Wana lumumba mpogo?
Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?
Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa jina la Samia 2025, wazalendo watumie jina gani kuziita
Ni zawadi au nini?
Ni rushwa kwa wapiga kura au takirima na au nini hasa?
Kwa nini isitoshe kuziamini kazi zake mnazozisifia kwamba zimewagusa wananchi na zitoshe kumpa kura tena?
Kwani mnamashaka tena na kazi zake mnazotuorodheshea kila leo hapa jf, kwamba mama kawazidi marais wote kwa kazi zilizotukuka na kwamba anaupiga mwingi?
Kwenye maandamano ya CDM mi huwa nashirikiOyaa na sisi tumerithi vichwa, kwanini tusibadili wenyewe!!
Kule Kenya Vijana hawakai nyumbani kulaumu bali wanakabiliana na hali iliyopo!! Badilika
YesKatika nzuri ni yakenya sio???
Utalijua hilo baada ya uchaguzi. Jibu litapatikana tu.Wana lumumba mpogo?
Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?
Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa jina la Samia 2025, wazalendo watumie jina gani kuziita
Ni zawadi au nini?
Ni rushwa kwa wapiga kura au takirima na au nini hasa?
Kwanini isitoshe kuziamini kazi zake mnazozisifia kwamba zimewagusa wananchi na zitoshe kumpa kura tena?
Kwani mnamashaka tena na kazi zake mnazotuorodheshea kila leo hapa jf, kwamba mama kawazidi marais wote kwa kazi zilizotukuka na kwamba anaupiga mwingi?
Hivi:Hizo pikipiki mamia