Pre GE2025 Kazi anazofanya Rais Samia kwa wananchi, hazimpi uhakika wa kurudi Ikulu? Nauliza, pikipiki zina lengo gani kwa wapiga kura?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alidhalilika na huo ujinga ndio Samia hawezi fanya 😁😁

Mwisho bila hongo hutoboi,uliza ambavyo wanavujiji walihawiwa mbolea za Bure mifuko 3 Kila mmja 🤣🤣

..2025 kuna watu watakuwa mabilionea na mamilionea kutokana na mishemishe za uchaguzi.
 
Wana lumumba mpogo?

Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?

Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa jina la Samia 2025, wazalendo watumie jina gani kuziita

Ni zawadi au nini?

Ni rushwa kwa wapiga kura au takirima na au nini hasa?

Kwa nini isitoshe kuziamini kazi zake mnazozisifia kwamba zimewagusa wananchi na zitoshe kumpa kura tena?

Kwani mnamashaka tena na kazi zake mnazotuorodheshea kila leo hapa jf, kwamba mama kawazidi marais wote kwa kazi zilizotukuka na kwamba anaupiga mwingi?
Tafiti zinazofanyika kuhusu kukubalika Kwa mama zinaogofya!!

Gazeti la Mwananchi nusura lipotezwe!! Acha tu asambaze pikipiki, magari na chopa pengine zinaweza badili upepo
 
Wana lumumba mpogo?

Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?

Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa jina la Samia 2025, wazalendo watumie jina gani kuziita

Ni zawadi au nini?

Ni rushwa kwa wapiga kura au takirima na au nini hasa?

Kwa nini isitoshe kuziamini kazi zake mnazozisifia kwamba zimewagusa wananchi na zitoshe kumpa kura tena?

Kwani mnamashaka tena na kazi zake mnazotuorodheshea kila leo hapa jf, kwamba mama kawazidi marais wote kwa kazi zilizotukuka na kwamba anaupiga mwingi?
pikipiki ni sehemu kidogo mno ya mkakakati wa CCM katikati kuuarifu umma juu ya mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, kijamii, kiuchmi na kisiasa kwa kipindi kifupi tu kilichopita 🐒

magari na helikopter vipo njiani vinakuja, navyo vitasambazwa nchi nzima kwani kuna Tatizo?

pikipiki tu zinakufurukuta mtima mav8 si utachanganykiwa sasa 🐒 🐒
 
Wana lumumba mpogo?

Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo?

Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa jina la Samia 2025, wazalendo watumie jina gani kuziita

Ni zawadi au nini?

Ni rushwa kwa wapiga kura au takirima na au nini hasa?

Kwanini isitoshe kuziamini kazi zake mnazozisifia kwamba zimewagusa wananchi na zitoshe kumpa kura tena?

Kwani mnamashaka tena na kazi zake mnazotuorodheshea kila leo hapa jf, kwamba mama kawazidi marais wote kwa kazi zilizotukuka na kwamba anaupiga mwingi?
Utalijua hilo baada ya uchaguzi. Jibu litapatikana tu.
 
Hizo pikipiki mamia
Hivi:
1. Pawa TILA (power tiller) moja ni sawa na pikipiki ngapi kwa maana ya bei?

2. Pikipiki moja ni sawa na jumla ya mifumo mingapi ya kumwagilia Maji [ pump ya Maji (3") , bomba la mita 4 (3"), bomba mita 25(2") , bomba mita 50 (1")]kwa maana ya bei?
====
Kumbuka Power tila moja inaweza kuajiri vijana wawili moja kwa moja na kutengeneza ajira zaidi ya 30 zisizo za moja kwa moja.

Pia kumbuka mfumo mmoja wa umwagiliaji unaweza kuajiri vijana wanne moja kwa moja na kutengeneza ajira zaidi ya 20 zisizo za moja kwa moja
 
Back
Top Bottom