Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
kwenye hii video, ukisikiliza hata sauti ya bomu hili unagubdia kabisa ni bomu la kutengeneza kienyeji halijafika standard ya jeshini, pia hakuna ndege yoyote angani inayoshambulia ama bomu lolote lililodondoshwa