Kazi gani ukiifanya lazima kichwa kiwake moto?

Kichwa inawaka moto pale mtu unaemdai lets say Tsh 100,000/= halafu bila kukuuliza anakutumia pesa yako kwenye M-PESA inayodaiwa MGODI, inakatwa halafu wanagoma kukukopesha maana umechelewesha rejesho!
πŸ™‚ lazima udate
 
Hahaha Dah,. Lazima maji uite mmnaπŸ˜„
 
Watu wa huku madeni hawaogopi??,. Kwanza hata ukiwapeleka mahakamani hamna kitu utapata maana wanakuja kusikiliza kesi wakiwa wameshatoka kuoga madawa hakimu hamna kitu ataamuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimefuta akilini…. 🀣🀣🀣🀣
 
Watu wanapita na brand yangu
Haha wanacopy wakati copyrights unazo wewe.

Hairuhusiwi kuiga, kurudufu au kuchapisha kwa namna yoyote ile msemo wa inasikitisha sana, nimesikitika au msemo unaoendana na huo bila idhini ya Mbaga Jr.
Haki zote zimehifadhiwa.
πŸ™‚
 
Leejay49 πŸ˜†πŸ˜† sasa si unakamata walio mdhamini walipe
Wakiwa wanaomba mikopo wanakuwa wapole sana kama sio wao mkishawapa sasa wanakuwa na viburi hatari mwingine aliniambia kwanza mmesajiliwa na bot kimoyomoyo nikasema nimekwisha huyu nikilegeza halipi..
 
Haha wanacopy wakati copyrights unazo wewe.

Hairuhusiwi kuiga, kurudufu au kuchapisha kwa namna yoyote ile msemo wa inasikitisha sana, nimesikitika au msemo unaoendana na huo bila idhini ya Mbaga Jr.
Haki zote zimehifadhiwa.
πŸ™‚
Shauri zao.
Hukumu ni faini 5M au kifungo miaka mitatu jela au vyote kwa pamoja 😎
 
Kichwa inawaka moto pale mtu unaemdai lets say Tsh 100,000/= halafu bila kukuuliza anakutumia pesa yako kwenye M-PESA inayodaiwa MGODI, inakatwa halafu wanagoma kukukopesha maana umechelewesha rejesho!
πŸ™‚ lazima udate
unaweza kupiga yowe hadi ukazimia πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€
 
Hakuna kazi au biashara ya kukufanya kichwa kiume...penda kazi unayoifanya maana ndiyo inakupa riziki.
 
Kichwa inawaka moto pale mtu unaemdai lets say Tsh 100,000/= halafu bila kukuuliza anakutumia pesa yako kwenye M-PESA inayodaiwa MGODI, inakatwa halafu wanagoma kukukopesha maana umechelewesha rejesho!
πŸ™‚ lazima udate
hii kali unatamani uukimbize muamala kabla hawajakata
 
Hakuna kazi au biashara ya kukufanya kichwa kiume...penda kazi unayoifanya maana ndiyo inakupa riziki.
ni kweli lakini kuna baadhi ya changamoto unaweza kupitia zakawa ngumu sana, mfano, kazini ufokewe sana, au kitu kimepotea wanakusingizia ni wewe, au umeajiri mtu kwenye Biashara yako anakuibia pesa ndefu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…