LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,394
- 6,550
Hapo alipo, anaweza weka kimeza cha matunda mbalimbali ama hata atazame namna ya kuweka kimeza cha bites kama muhongo na viazi vya kukaanga.Ni wakala wa mitandao ya simu
Nani kafoka,maandishi siku hizi yana tone kwani?Mbona unamfokea mtu usiemjua jaman. Je kama ni mke wa mtu anatakiwa awahi kurudi nyumbani? Je kama ana mgonjwa au watoto wadogo? Don't be so judgemental when u don't know the real story. Hayo masaa yanatosha kabisa kupata riziki kama ipo.
Anyways kama ataweza aweke friji auze vinywaji hapo, au aweke computer awe ana burn movie, series,music etc... muhimu aangalie eneo alipo na uhitaji wa watu wa hapo
Hub ni kitu gani mkuuYaani ana vitu vitatu ambavyo ninatamani niwe navyo kwa Pamoja.
1)Flow ya pesa
2)Muda wa kutosha (kutokana na nature ya Biashara)
3)Utulivu wa akiri
Simshauri afanye nini ila kuwa na vitu hivyo vitatu kwa wakati mmoja karne hii ya 21 una nafasi kubwa umebarikiwa sana.
Kwa upande wangu ningehakikisha nina PC yangu nzuri hiko kibanda cha Tigopesa ningekigeuza Hub akija mteja nahudumia nikiwa sina mteja mimi nasema na PC.
Sawa mkuuNicheki pm tafadhali nina meseji yako
Ni maumivu niliporudisha hela yangu nikaacha kabisa. kuna watu wababe wanaweza kuifanya.Biashara ya kukopesha sio biashara. Unless uuze cash kwa watu 4 then ukopeshe 1. Otherwise ni maumivu tu
Afungue mgahawaWakuu toeni basi ushirikiano
Auze basi dagaa wa Mwanza, awapaki vizuri aweke tangawizi, chumvi kidogo afanyie package nzuri apeleke supermarketNi wazo zuri ijapo hiyo sehemu alipo migahawa pia ipo, na pia ni sehemu zenye maduka ya jumla na reja reja
Msifanye biashara za kukopesha.. Kuna watu wakishika pesa hata alichokopa hakumbuki tena kukilipaajaribu kuuza vitu vya wadada kwa mkopo wa mwezi. vitu kama mapochi, vitenge, viatu nk. binafsi nilifanya ila nikaacha mwaka jana wengine maofisini wagumu kulipa inataka kukomaa.
Ehhhh mzee una faini ya kulipa mzee babakumbe kajiajiri tayari,nilijua ni muajiriwa ofisi flani..
kama kajiajiri basi aseme ni biashara gani anayofanya au aliojiajiri nayo kisha tumshauri biashara ya kufanya ndani ya biashara yake hiyo hiyo.
huwezi mshauri muuza mkaa au pumba za kuku auze chakula hapo hapo ofisini HAIWEZEKANI lazima ushauri ataopewa uendane au ukaribiane na biashara hiyo hiyo anayoifanya sasa hivi.
Mkuu naukumbuka ule uzi na ninakumbuka kila kitu ila kama unakumbuka nilisema jibu la swali lako sio fupi nikasema nitafungua thread kwasababuHivi huyu mdau CONTROLA kuna uzi nilifungua juu ya kufungua kampunj ya kusafirisha unga to UK jamaa akazingua hakutoa wazo lake madini yake, na ninamjua ana madini mazuri sana, ngoja aje hapa nimlime faini
Well said brother,Mkuu naukumbuka ule uzi na ninakumbuka kila kitu ila kama unakumbuka nilisema jibu la swali lako sio fupi nikasema nitafungua thread kwasababu
si wewe tu unaetafa fanya viile nikawa nimesema nifungue thread kisha ndani ya thread nijibu swali lako kwa undani na zaidi niweke na vingine ambavyo hata
hukua unavijua (mbinu/maujanja ya ku surrvive/nk) sio kwamba nilikaa kimya makusudi mkuu,hata thread huwa nafungua nikiwa free kbsa kbsa na akili ipo
ktk hilo jambo ndio mana nakua natoa vitu vingi,yani mimi ukiona nimefungua thread naongelea kitu ujue (jana au leo) nimetoka kifanya hicho kitu ktk uhalisia
ukiona naongelea mbinu za kufanya biashara flani ujue nipo nafanya hicho kitu siwezi ongelea biashara ambayo siifanyi,mbinu ambayo siifanyi,chochote ambacho
sijawahi waza hata kukifanya eti nafungua thread au nina njaa sijala siku mbili Halafu nafungua thread nafundisha watu jinsi ya kuishinda Njaa hapana sipo hivyo mkuu wangu hiyo FAINI naomba ipige STOP kdg kwasababu siku nitakapo fungua thread khs
lile swala utaelewa hata ni kwann nilikua kimya muda mrefu,la mwisho mkuu unapofungua thread au simulia kitu basi ni lazima UWE NA TAARIFA ZOTE muhimu
kisha ndio unakuja simulia au andika ukiwa na uhakika na unachokiandika hivyo mkuu tuvumiliane tu mkuu wangu Siwezi ficha kizuri kilicho ndani yangu hata siku 1
kama kipo nitakitoa tu kila mtu akipate maana ktk watu siogopi wapa fursa ni WABONGO siogopi hata kidogo kumwambiia MTANZANIA nimepita njia flani nimeona PESA KWENYE BOX
sema kesho nataka nikazifate,najua mtanzania ni mtu wa dharau na kupuuza,Hiyo ndio sababu nikiwa namwaga mchele humu JF naumwaga mzima mzima maana najua walaji ni wachache
wengi husoma na kuyaacha humu humu kwahyo sijakusahau chief,ahadi ni deni na lazima nilipe hilo Deni.
Wakati tunasubiria maelezo ya kwenye huo uzi, kuna maswali nimekutumia pm nicheki tafadhali msaadaMkuu naukumbuka ule uzi na ninakumbuka kila kitu ila kama unakumbuka nilisema jibu la swali lako sio fupi nikasema nitafungua thread kwasababu
si wewe tu unaetafa fanya viile nikawa nimesema nifungue thread kisha ndani ya thread nijibu swali lako kwa undani na zaidi niweke na vingine ambavyo hata
hukua unavijua (mbinu/maujanja ya ku surrvive/nk) sio kwamba nilikaa kimya makusudi mkuu,hata thread huwa nafungua nikiwa free kbsa kbsa na akili ipo
ktk hilo jambo ndio mana nakua natoa vitu vingi,yani mimi ukiona nimefungua thread naongelea kitu ujue (jana au leo) nimetoka kifanya hicho kitu ktk uhalisia
ukiona naongelea mbinu za kufanya biashara flani ujue nipo nafanya hicho kitu siwezi ongelea biashara ambayo siifanyi,mbinu ambayo siifanyi,chochote ambacho
sijawahi waza hata kukifanya eti nafungua thread au nina njaa sijala siku mbili Halafu nafungua thread nafundisha watu jinsi ya kuishinda Njaa hapana sipo hivyo mkuu wangu hiyo FAINI naomba ipige STOP kdg kwasababu siku nitakapo fungua thread khs
lile swala utaelewa hata ni kwann nilikua kimya muda mrefu,la mwisho mkuu unapofungua thread au simulia kitu basi ni lazima UWE NA TAARIFA ZOTE muhimu
kisha ndio unakuja simulia au andika ukiwa na uhakika na unachokiandika hivyo mkuu tuvumiliane tu mkuu wangu Siwezi ficha kizuri kilicho ndani yangu hata siku 1
kama kipo nitakitoa tu kila mtu akipate maana ktk watu siogopi wapa fursa ni WABONGO siogopi hata kidogo kumwambiia MTANZANIA nimepita njia flani nimeona PESA KWENYE BOX
sema kesho nataka nikazifate,najua mtanzania ni mtu wa dharau na kupuuza,Hiyo ndio sababu nikiwa namwaga mchele humu JF naumwaga mzima mzima maana najua walaji ni wachache
wengi husoma na kuyaacha humu humu kwahyo sijakusahau chief,ahadi ni deni na lazima nilipe hilo Deni.
Mbona unamfokea mtu usiemjua jaman. Je kama ni mke wa mtu anatakiwa awahi kurudi nyumbani?
Mbona unamfokea mtu usiemjua jaman. Je kama ana mgonjwa?
Mbona unamfokea mtu usiemjua jaman. Je kama ana watoto wadogo?
Don't be so judgemental when u don't know the real story
Yanatosha only if anafanya biashara ktk sehemu zenye mikusanyko ya watu kama masoko makubwa makubwa ambapo maeneo hayo pia kufika saa 12-1 sheria inawataka wote wafunge lakini pia uhakika wa biashara wanao mchana.Hayo masaa yanatosha kabisa kupata riziki kama ipo.
Vinywaji vya kuuzwa mchana tu masaa 10 unafikiri vitaweza mpa faida ya kuweka umeme wakuwasha hilo friji kwa masaa tajwa? na hapo hapo abaki na faida yake mfukoni?Anyways kama ataweza aweke friji auze vinywaji hapo, au aweke computer awe ana burn movie, series,music etc... muhimu aangalie eneo alipo na uhitaji wa watu wa hapo